Mdudu halisi
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 2,730
- 4,771
Huyu mfalme wa kijijini kwetu akishindwa uchaguzi na akatoka kwa hiari yake, nitatembea uchi wa mnyama toka Mbinga hadi Mwanza.
Tupe majibu acha siasa za majitaka mzeeUnajua hapa,ndio unaelekea kudhihirisha ile ratio ya 4:1
Hahahhaha tumevurugwa..Tumieni nguvu ya umma, la sivyo hatotoka. Hata huku kijijini kwetu yupo tunamngoja 2020
Mmh mimi sijui kusoma au, ni kama sijaona neno rais kwenye huu uzi! Ngoja nikanawe uso nitarudikwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?
Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
Au anaweza kuwa RIP JPM kabla ya 2020! Ya Mungu ni mengi au uwongo!Jpm ni Rais hadi 2025.....Endelea kuota..
Una tabia zote za kichawi...kwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
Huna haja ya Kumwona Uwapo wake Umetamalaki kote kote na wala yeye hajalibiwi milele na milembe amini.Mbona naishi hapa kijijini lakini sijabahatika kumuona mfalme..?
Anakataa kukosolewa na watumbuliwa wapiga dili na nyumbu wasaka malisho. eti kwenye mitandao hawamtaki. wee lofa kwelikweli.Una tabia zote za kichawi...
Angalia ni wangapi humu hawamtaki? kisha utafute mazombi wenzako wanaounga mkono, asiyetaka kukosolewa ndo anaona alizaliwa kuwa mungu mtu, jitambue ju*ha wewe.
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?
Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
Halafu wataanza kuisingizia katiba,nyumbu bwana kulialia ndio zao tushawazoea.kwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
Halafu wataanza kuisingizia katiba,nyumbu bwana kulialia ndio zao tushawazoea.