Kwanini Rais Samia anamwamini Freeman Mbowe kuliko Zitto Kabwe? Mbowe hajawahi kuwa na msimamo Mmoja!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Nilishangaa sana na ninashangaa mpaka Leo mamlaka kumfanya Mbowe ni special opposition leader? Mbowe muda mwingi yupo ikulu tofauti na wapinzani wengine ..ninani alimuongopea rais amwamini Mbowe kuliko Zitto na wapinzani wengine? Mbowe hajawahi kueleweka na ndio maana Kuna panda shuka Kila mwaka kwenye chama chake!

Mbowe ni Mzee wa kubadili gia angani, maana yake hana msimamo na hawezi kutunza Siri..Leo Zitto ni kiongozi wa chama ambacho kwa Zanzibar kipo ikulu! Leo ACT Wazalendo ndio chama pekee Cha siasa ambacho kinashirikiana na CCM kuongoza Zanzibar...hatujawahi kumsikia Zitto akitoa Siri zozote za huko Zanzibar..Mbowe akiwa ikulu anaunga mkono maono ya rais linapotokea jambo ambalo wananchi wanahitaji ufafanuzi alitakiwa awasiliane na rais ajiridhishe ndipo atoe maelezo yake, Mbowe hafai kuwa Icon wa siasa zetu!

Mbowe na Zitto Kabwe wameachana mbali sana kwa swala la maono na hekima, Mbowe aache kumvuruga Rais Samia ..na akirudi tusimuone Tena ikulu ni mnafiki ,,

NB kwa wale machawa ambao kwa namna yoyote waraka huu hautawaacha salama karibuni kwa mapovu
 
Watanzania nyie akili hamna hata mambo madogo hamuwezi kuyafanyia tathimini

Samia anatumia kila mbinu kukaa na watu wenye ushawishi hasa walio vyama vya upinzani

Ukiangalia Zito Kabwe hana ushawishi kwa jamii wananchi wanamchukulia km mtu anayepigania utikadi sio kupigania maslahi ya nchi

Chadema waliaminika kwa wananchi awamu ya nne kutokana na kupiga vita ufisadi

Kwa kifupi chadema wanatembea na CV ya awamu ya nne

Lkn kwasasa wamewekwa kwapani wanalambishwa asali
 
Back
Top Bottom