Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 890
- 4,140
Zitto Kabwe na chama chako ulikaa kimya kuhusu hoja ya bandari kwa madai kwamba unafurahia kuona hoja imepelekwa bungeni. Yamkini ungejielekeza kuchambua mapungufu unayodhani yapo ungewapa mwanga wabunge kuchangia ila uliamua kukaa kimya ukilisubiri bunge.
Azimio limeshapita bila mabadiliko wala maboresho yoyote kuwa wazi. Naomba kujua hiki ndicho ulikuwa unakisema au wabunge wamekuangusha? Kama wamekuangusha unadhani bado msimamo wa chama chako una faida kwa Taifa letu?