Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.
Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
Heri ya Noeli wanaJF,
Nimelazimika niandike makala hii ili kumuonya mdogo wangu Zitto kuacha siasa za uzushi ili kuepuka "viboko" vya karma.
Nimkumbushe jinsi karma inavyowacharaza CHADEMA kwa kutoa mifano miwili; awali, sasa hivi wanamkumbuka JK huku wakibubujikwa na machozi huku wakitubu kwa...
Na Elius Ndabila
0768239284
Zitto Kabwe ni moja ya vijana waliojizolea sana umaarufu kwenye siasa za 2005-2015.Alikukuwa ni kijana alikuwa anajenga hoja. Uzito wa hoja zake ulimpa mashabiki wengi na kujipatia umaarufu mkubwa. Ninamzungumzia Zitto yule si huyu mlopokaji, mubwatukaji na mzushi...
Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point I'm sure!
Ujumbe kutoka kwa Baba Askofu Dr Benson Bagonza PhD..
HONGERA CHADEMA, lakini...
Nawapongeza wana Chadema kwa kumaliza uchaguzi. Nawapongeza viongozi wote walioshiriki, wakashindwa na kushinda. Mlichokozwa, hamkuchokozeka. Waleteeni watanzania fikra mpya, hoja mpya na siyo Tanzania mpya...
Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2019 – Zitto Kabwe
Mwaka 2019 nimejaaliwa kusoma vitabu 34 (2018:49 na 2017:36+3). Ni sahihi kuwa idadi imepungua sana, hii ni kwa sababu shughuli nazo zimekuwa nyingi, haswa masuala ya ujenzi wa chama na kuhami demokrasia. Mwaka 2019 ndio mwaka nimekanyaga...
Chama cha CHADEMA kimeelemewa kwa salaam za Pongezi kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi kutokana na uchaguzi mkuu wa kihistoria uliyomrejesha madarakani Freeman Mbowe.
Salaam za Karibuni ni kutoka kwa Chama cha ACT Wazalendo mshirika wa Chadema katika upinzani.
Kiongozi wa ACT...
Habari Tanzania!
Umewahi kujiuliza ni kwa kiwango gani Ushauri wa Kitaalam (Consultancy) ni muhimu katika uanzishaji, endelezaji na kufanikisha shughuli zetu za Kibiashara, Miradi mbalimbali, Ujasiriamali, n.k?
Pia, kwa kiasi gani watanzania tumekuwa tukipata ushauri toka kwa Wataalamu wetu...
Naomba kujua kwa kipindi hichi cha mwisho wa Mwaka, ni mambo gani ya muhimu kujitathmini binafsi ili kujua ni kwa kiasi gani umefanikiwa katika malengo yako.
Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli.
Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amesema chama chake hakijafanya mazungumzo yoyote na mzee Sumaye kuhusu Waziri mkuu mstaafu huyo kujiunga na chama chao.
Zitto amesema mzee Sumaye ameweka wazi msimamo wake wa kupumzika siasa za vyama na kwamba atabakia kuwa mshauri kwa vyama vyote...
“Wananchi hawana furaha, hawana amani, wamejaa hofu, hawawezi kukaa kwa kukosa furaha muda wote, ndio maana tunasema kazi na bata, watu wafanye kazi wale na bata” @zittokabw
Zitto alisema Rais John Magufuli ameongelea bei ya unga kupanda yupo sahihi kwa wakulima wanapaswa kupata bei nzuri ya mazao na serikali haipaswi kuingilia.
“Amejifunza makosa ya korosho? Lakini sababu za bei kwa walaji kupanda ni serikali kutonunua chakula cha akiba
Zitto aliandika ujumbe huo...
Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano! Mwisho Ado akaongeza "takataka" binafsi za kudai tume huru na katiba mpya!
Yaani kichekesho!
Kumbe walisusa huku kiroho kinauma? Walidanganyana wataitwa?
Kiongozi...
Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe.
ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
Awali ya yote niwape pole wale wote watakaofuata agizo la kutoshiriki uchaguzi kwa kutopiga kura.
Watakuwa kwa hiyari yao wenyewe wamejinyima haki yao. Hakuna mwingine atakayeumia isipokuwa wao wenyewe na chama chao.
Nadhani CHADEMA wanadhani kwa kususa mpango wao wa kuonyesha kuwa TANZANIA...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili
Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
Taasisi makini huweka utaratibu wa viongozi wake kutoa taarifa. Haiwezekaniki kila kiongozi awe msemaji wa taasisi haswa ya kisiasa. Nidhamu inakuwa zero ikitokea hivyo.
CHADEMA ni taasisi ya ajabu! Inaye msemaji ambaye kama wengine naye ni mchaga. Ndugu Makene. Japo haenei kwenye nafasi lakini...
Mwaka jana Zitto Kabwe katikati ya mgogoro wa Ndugai na CAG alitabiri kuwa CAG ''kisiki'' Prof. Mussa Assad anafanyiwa zengwe la kuondolewa na kuletwa CAG dhaifu.
Sikiliza hiyo video
Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.