Rwandair kwa taarifa yako ina ruka London zaidi ya mwaka sasa. Inatumia Gatwick airport . Usitufanye wote wajinga hawawezi kuomba ruti ya mwanza - LondonZito acha kamba wewe, hao Rwanda unaowatukuza hata shirika lao la ndege wanamiliki asilimia 40 au 60 tu hivi sasa. Sisi tunamiliki la kwetu 100%. BTW pengine huna taarifa wameomba kwa kupiga magoti tuwainue kidogo kwa kuruhusu waruke kutoka Mwanza - London ili wapate ujiko kidogo.
Mila zetu Tanzania sio sawa na Wanyarwanda elewa hilo.
Nchi imekabidhiwa washamba.
wananchi wana uwezo kuhoji kupitia CAG. cha ajabu sana ni kuwa chini ya awamu ya 5 CAG anapigwa vita na serekali... ironically sinister!!Very soon watakuambia ni raia wa Rwanda wakunyang'anye na ubunge pia
Japo sina uhakika sana, labda lengo la Rais kufanya mapokezi makubwa ni kuufikishia habari umma wetu wajue assets ili wawe na nafasi kuhoji zikianza kupukutika, tunaambiwa Hayati Mwl. Nyerere aliacha ndege 14, lakini huko nyuma hatukuyajua hayo kwakuwa hazikuwa zinatajwa public.
Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi
Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto
Zito anajielewaUkimungalia zito usoni utajua kuwa kwa nini anaroho mbaya
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app