Zitto Kabwe mbona huwa hakamatwi kwa uchochezi na uzushi kama ilivyo kwa wapinzani wengine?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,852
Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu.

Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005. Je, hoja zake huwa ni za kweli au serikali huwa inamuogopa? Angalia alivyokuwa aki-share taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miezi 3.
 
Kila kitu anachozusha zitto serikali uwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, Kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule kigoma, na mambo mengine kibao ila walipo sema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu!

Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005 je hoja zake uwa ni za kwel?i au serikali uwa inamuogopa? angalia alivyokuwa akishare taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miaezi 3!
kwa sababu ZITTO kawa JEPESI Sana now days hatutishi
 
, kuuwawa na kuzikwa watu kule kigoma, na mambo mengine kibao ila walipo sema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu!

Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005 je hoja zake uwa ni za kwel?i au serikali uwa inamuogopa? angalia alivyokuwa akishare taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miaezi 3!

We muongo, umekurupuka tu, halafu Zitto haropokwi tu kama hao wapinzani wengine.
 
Urongo. Kamfanyia nini Musiba? Sijaona watu wakila pilau kwa Musiba.
Zito hajafanya uchochezi anaongeaga ukweli isitoshe Zito sio tishio. Ogopa kitu inaitwa CHADEMA. Mtu kachukua form huko usukumani leo yuko mahabusu. Just imagine kuchukua form tu. Kuna wakuu wa mikoa wakisikia CHADEMA wahashikwa na matumbo ya kuharisha. Wakuu wa wilaya ndio usiseme. Nenda Hai uone, mpaka mimea inayomwagiliwa inafuatwa.
People's power.
Kwani Zitto hakumkomesha Musiba? hahahahahah, mbona nasikia Musiba Mgambilwa ni mntu anajikuna tu muda wote
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu.

Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005. Je, hoja zake huwa ni za kweli au serikali huwa inamuogopa? Angalia alivyokuwa aki-share taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miezi 3.
Umetafakari vizuri tu!!! Binafsi zitto naona kama janja janja tu
 
Kua na kesi na kukaa ndani ni vitu viwili tofauti ...hua anakuja na makabrasha yake muda ukiisha wa kesi anaondoka kwenda kuendelea na shuhuli zake zingine.
Tundu Lissu Yeye Alishawahi Kukaa Siku 10 ?

Lowassa ?

Dr Slaa Je ?

Sumaye ?

John Heche ?

John Mnyika ?

Kiukweli Zitto Ni Mjanja Na Huwa Hazungumzi Jambo Na Kujitia Mtegoni Kijinga.

Hata Mbowe Ni Mjanja Lakini Akijua Kabisa Anawindwa Na Dola Halafu Anakiuka Masharti Ya Dhamana. Hapo Ndo Wabaya Wake Wakapatumia Kama Fursa Kumkomesha.
Kabla Ya Hapo Ni Lini Mbowe Amekaa Mahabusu Siku 10 Au Kukamatwa Ovyo ?

Hata Kukamatwa Na Polisi Siyo Ujanja Au Ukamanda,

Kwenye Kitabu Cha The " Art Of War" Sun Tzu Amejaribu Kufafanua Namna Ya Kukabiliana Na Adui Anayekuzidi Nguvu.

Mawazo Alitumia Nguvu, Kauawa Familia Yake Imebaki Yatima, Chadema Wamepoteza Kiongozi Na Hakuna Haki Yoyote Mpaka Sasa.

Kumbu wapinzani Tanzania hawapambani na CCM, bali wanapambana na DOLA
 
Fuatilia record yake kila alipokamatwa kwa uchochezi baada ya mahojiano ndio wakamataji huumbuka zaidi (ana kawaida ya kuweka mahojiano yake hadharani kupitia social media)
 
Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu.

Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005. Je, hoja zake huwa ni za kweli au serikali huwa inamuogopa? Angalia alivyokuwa aki-share taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miezi 3.
Haujakatazwa kumkamata wewe, kamata sokomeza ndani, akija mtu kumdhamini kamata sokomeza ndani na akija mkewe kumletea chakula naye kamata na hotipoti zake sokomeza ndani.
 
Back
Top Bottom