Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano!

CalvinKimaro

Senior Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
162
Points
250

CalvinKimaro

Senior Member
Joined Sep 11, 2017
162 250
Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano! Mwisho Ado akaongeza "takataka" binafsi za kudai tume huru na katiba mpya!
Yaani kichekesho!

Kumbe walisusa huku kiroho kinauma? Walidanganyana wataitwa?
Kiongozi wa ACT Zitto wakati anatangaza kususa achaguzi alidai WASILAUMIWE! Yaani alitoa kitisho! Sasa wanawake wa Chama chake wanamtaka (hawamuombi) waliyemtishia ndio aitishe kikao cha maridhiano! Ingefaa wajue serikali inasubiri watende hicho ambacho wanadhani watalaumiwa wakikitenda. Ama sivyo watuambie wamekwama kutekeleza kitisho!

Hivi unayemwambia "asikulaumu" atakutana na wewe ili iweje? Akulaumu?
Hivi kama kususa kulihusiana na tume kutokuwa huru (kwa mtazamo wao) au kukosekana kwa katiba mpya kwa nini walihamasishana kujiandikisha? Si wangesusa toka mwanzo? Tushike lipi? Mlinyimwa form, mlinyimwa kurudisha form, wagombea walikatwa au katiba na time?

Je huu si uthibitisho kuwa tangu awali mlipanga kuharibu uchaguzi ili mdai tume na katiba mpya? Tuseme msingekatwa, kukataliwa, kukwepwa kama mnavyodai mngeshiriki chini ya tume hii iliyopo na katiba iliyopo? Hili wazo la tume na katiba limewajia kabla au baada ya kususa?

Hamuoni mnaanika uchawi wenu sokoni?
Hizi kauli na vitisho vya kitoto vinawaponza!

Nawashauri hivi: hakuna atakayewaita kutafuta mwafaka maana hakuna mgogoro wa kitaifa. Wala huyo mnayetaka aandae kikao Hana huo muda. Mlitaka kukutana naye wahini majimboni kwani huwa anapita huko kutatua kero halisi za wananchi. Akifika eneo lako omba mic umueleze tatizo lako ni katiba, tume, kunyimwa kuchukua au kurejesha form, kukatwa wagombea! Na sio maji, zahanati, shule, barabara! Halafu usikilize atakavyokujibu ili upate huo mwafaka.

Kama hili huwezi endelea kususa na kutishia ila usitende uhalifu maana utajuta!
 
residentura

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,555
Points
2,000

residentura

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,555 2,000
Unahangaika sana,unaandika hovyo hovyo bila mpangilio!watetezi wengi wa CCM mitandaoni ni mbumbumbu,alisikika mwehu mmoja akisema!
Nafikiri huwa ni wale walioenda kidato cha kwanza(sio kufaulu) wakiwa hawajui kusoma,kuandika na kuhesabu.
CCM ni wanufaika wakubwa wa mfumo mbovu wa elimu wa nchii hii,kwani tafiti zinaonyesha kuwa asilimia kubwa hiki chama kinapendwa na wenye elimu hafifu,wenye uelewa mdogo,wazee na "masikini".
 
ngusillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2019
Messages
391
Points
1,000

ngusillo

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2019
391 1,000
Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano! Mwisho Ado akaongeza "takataka" binafsi za kudai tume huru na katiba mpya!
Yaani kichekesho!

Kumbe walisusa huku kiroho kinauma? Walidanganyana wataitwa?
Kiongozi wa ACT Zitto wakati anatangaza kususa achaguzi alidai WASILAUMIWE! Yaani alitoa kitisho! Sasa wanawake wa Chama chake wanamtaka (hawamuombi) waliyemtishia ndio aitishe kikao cha maridhiano! Ingefaa wajue serikali inasubiri watende hicho ambacho wanadhani watalaumiwa wakikitenda. Ama sivyo watuambie wamekwama kutekeleza kitisho!

Hivi unayemwambia "asikulaumu" atakutana na wewe ili iweje? Akulaumu?
Hivi kama kususa kulihusiana na tume kutokuwa huru (kwa mtazamo wao) au kukosekana kwa katiba mpya kwa nini walihamasishana kujiandikisha? Si wangesusa toka mwanzo? Tushike lipi? Mlinyimwa form, mlinyimwa kurudisha form, wagombea walikatwa au katiba na time?

Je huu si uthibitisho kuwa tangu awali mlipanga kuharibu uchaguzi ili mdai tume na katiba mpya? Tuseme msingekatwa, kukataliwa, kukwepwa kama mnavyodai mngeshiriki chini ya tume hii iliyopo na katiba iliyopo? Hili wazo la tume na katiba limewajia kabla au baada ya kususa?

Hamuoni mnaanika uchawi wenu sokoni?
Hizi kauli na vitisho vya kitoto vinawaponza!

Nawashauri hivi: hakuna atakayewaita kutafuta mwafaka maana hakuna mgogoro wa kitaifa. Wala huyo mnayetaka aandae kikao Hana huo muda. Mlitaka kukutana naye wahini majimboni kwani huwa anapita huko kutatua kero halisi za wananchi. Akifika eneo lako omba mic umueleze tatizo lako ni katiba, tume, kunyimwa kuchukua au kurejesha form, kukatwa wagombea! Na sio maji, zahanati, shule, barabara! Halafu usikilize atakavyokujibu ili upate huo mwafaka.
Kama hili huwezi endelea kususa na kutishia ila usitende uhalifu maana utajuta!

View attachment 1262164
Takataka
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,046
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,046 2,000

Kwani wewe unadhani kazi ya rais na serikali nini? kujenga ustawi wa watanzania au kutunishiana misuli na watanzania ?it seems wewe hazikutoshi
 
Bungua

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
398
Points
500

Bungua

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
398 500
Kwani wewe unadhani kazi ya rais na serikali ni? kujenga ustawi wa watanzania au kutunishiana misuli na watanzania ?it seems wewe hazikutoshi
vile calvin kimaro ni nani? plz strike him off. hastahili kabisa kuwa jf tena senior member! anajimwambafy tu. au nduguye musiba - mwanaharakati huru wa kutetea rais?
 
Forum statistics

Threads 1,366,943
Members 521,594
Posts 33,381,706
Top