zimamoto

Zimamoto Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Msaada jinsi ya kujisajili mfumo wa Zimamoto

    Habari wakuu, Nimejaribu kijisajili kwa mtandao katika mfumo wa zimamoto naona kama kuna changamoto kwa upande wangu. Anaejua naomba msaada, au kama kuna tatizo naomba ma IT watusaidie, ukiingia tu kwenye mfumo unaombwa namba ya NIDA baada ya hapo mfumo hauendelei.
  2. Roving Journalist

    Waziri Masauni aongoza ujumbe kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia. Hiyo ni sehemu ya ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi wa idara hizo katika masuala ya Usalama ikiwemo...
  3. Kaka yake shetani

    Ni miujiza mtoto mchanga kukaa siku tatu kwenye shimoni la chooni akiwa hai. Hongereni Jeshi la zimamoto na mtoa taarifa

    Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 . Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto. Tukio limetokea huko Dodoma
  4. TheForgotten Genious

    SoC04 Jeshi la Zimamoto na uokoaji lipatiwe vifaa vya kisasa ili kukabiliana na majanga ya moto katika misitu,maeneo yasiyo fikika na majengo marefu

    UTANGULIZI. Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
  5. chiembe

    Tanzania ina Jeshi la Zimamoto na Uokoaji! Kuna mtu kaliona wakati huu wa mafuriko?

    Mimi ningeteuliwa kuwa kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji, jambo la kwanza ningeomba kibali cha kuunda vikosi maalum hata vinne, kwa ajili ya zimamoto na uokoaji wakati nchi inasubiri kuwa na kikosi nchi nzima, Rufiji haupo, Kilosa haupo. Ndio maana hata kwenye gwaride hamkuwepo leo siku...
  6. Jaji Mfawidhi

    Mwendokasi hawana zimamoto! Mkurugenzi yupo tu kwenye AC!

    DART hapo ni Gerezani -Kariakoo, mwendokasi inaungua, wazimaji hawana ndoo za mchanga, hakuna mabomba ya maji ya kuzimia lakni kwakuwa ni karakana kubwa, basi walipasa kuwa na gari lao binafsi la kuzimia moto. Hii Kampuni juzi hapa kateuliwa mkurugenzi mpya, mambo yamekuwa mabaya kuliko hata...
  7. Jaji Mfawidhi

    Zimamoto sasa imefeli, Irudishwe Halmashauri, Hakuna Moto umewahi kuzimwa na ZT!

    Baada ya Magufuli kuingia madarakani, aliwapa hadhi idara ambazo ni idara tu na kuongeza matumizi yasiyo ya Lazma. Hili jeshi la zimamoto ni mzigo kwaTaifa na sasa tunaomba mh Samia Suluhu alirudishe kama zamani, fikiria halmashauri ya Moshi ilikuwa na magari matatu ya kuzima moto na ndiyo...
  8. Erythrocyte

    Masoko yaanza kuchomwa tena? Angalia Soko la Mbuyuni Moshi likiteketea

    Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu. Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024 Hivi kwanini masoko hayaungui mchana? ============ Kufuatia ajali ya Moto iliyoteketeza Soko la Mbuyuni, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema moja ya...
  9. M

    Mkeka wa usaili kwa jeshi la zimamoto unatoka lini?

    Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka. Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho. Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
  10. Youngblood

    Kwa takwimu hizi ni kwamba hatuna Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

    Kimsingi hatuna Jeshi la zimamoto na uokoaji, Report ya CAG inaeleza. 1. Upungufu wa vituo 283,370 vya vya kuchukulia maji ya kuzima moto sawa na 99.4%. 2. Upungufu wa vifaa vya zimamoto na uokoaji 6,352 sawa na asilimia 91%. 3. Jeshi hilo linarekodi matukio ya mlipuko wa moto na uokoaji kwa...
  11. kuchkuch hotahe

    Nafasi za kazi jeshi la zimamoto na uokoaji

    Tangazo linaajieleza
  12. Ulongupanjala

    Zimamoto muwe tayari kwa kazi Tanga

    Habari za mchana? Muda huu gari aina ya Toyota Hiace inaungua barabara ya 4 maarufu kama Tangamano jijini Tanga. Si zaidi ya mita 500 toka ofisi ya Zimamoto mkoa wa Tanga. Zimamoto wamechukua dakika zaidi ya 10 kufika eneo la tukio na walivyofika wakaanza kuvuta mpira kwa kutegea sio kwa...
  13. JanguKamaJangu

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) yakagua ujenzi wa Makazi ya Askari Zimamoto - Dodoma

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba...
  14. Kamanda Asiyechoka

    Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

    Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee. Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida? Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
  15. Suley2019

    Helikopta ya kwanza ya Zimamoto kununuliwa

    Serikali imesema imepanga kufanya maboresho makubwa katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ikiwa ni juhudi za kupambana na athari za majanga pindi zitokeapo ajali mbalimbali ikiwemo ajali ya moto ili kuweza kuokoa mali na maisha ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania itanunuliwa...
  16. Webabu

    Rasmi: Uasi wa Progozhin ilikuwa kama mazoezi ya zimamoto

    Kwa mara ya kwanza viongozi wa Urusi wamethibitisha kuwa lile tukio lililopata kuripotiwa sana duniani ilikuwa ni kama yale mazoezi ya kuzima moto nchini ambapo wakati mwengine ndege huripotiwa kuanguka na kuleta taharuki kubwa kwa wananchi. Hilo limetolewa ufafanuzi na mnadhimu wa masuala ya...
  17. mtwa mkulu

    Nyumba nzima yateketea kwa moto Kyela. Hakukuwa na msaada wa zimamoto hakuna kilichookolewa

    Ndivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela. Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji. Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana
  18. GoldDhahabu

    Tanzania na Mipango ya Zimamoto

    Mwenye taarifa sahihi anijuze! Wakati wa utawala wa Dr. Kikwete, tulikuwa na KILIMO KWANZA na BIG RESULTS NOW! Alipoingia hayati Dr. Magufuli, kukazaliwa TANZANIA YA VIWANDA! Kabla ya KILIMO KWANZA, BIG RESULTS NOW na TANZANIA YA VIWANDA, kulikuwepo na MKUKUTA, MKUTABITA, SIASA NI KILIMO...
  19. GENTAMYCINE

    Baada ya Kuvutiwa na Uteuzi wa Mwanza, najiandaa Kufungua huko Kiwanda Kikubwa cha Vibiriti

    Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
  20. JanguKamaJangu

    Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
Back
Top Bottom