zimamoto

Zimamoto Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto Latoa Onyo Kuhusu Matumizi Mabaya ya Gesi ya Majumbani

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa wito kwa wananchi kuwa waangalifu wakati wa matumizi ya gesi ya majumbani (LPG) ili kuzuia majanga ya moto na milipuko. Katika elimu iliyotolewa na afisa wa jeshi hilo kupitia kipaza sauti, alieleza kuwa matumizi ya mpira wa gesi au valve iliyoharibika kwa...
  2. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Waliouwa Oktoba 2025 walikwenda kuzima nyumba ya udongo kutumia gari ya maji ya zimamoto

    Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani. Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka kabisa. Baadhi ya Mali zinaharibika pia. Kuna wakati inaonekana afadhali uache nyumba iungue kisha moto...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sakata la mabasi na malori bado bichi.. Halihitaji maamuzi ya zimamoto

    Maswali ambayo hayajaulizwa hadi sass 1. Je ramani ya mipango miji ya jiji la Dar inasemaje? 2. Je eneo la shekilango ni sahihi kuwa stand za mabus? Je matumizi yake ya asili ni yapi? 3. Je ni nani aliruhusu kuwa na ICD ndani ya jiji? Bado idara inayohusika na mipango miji inastahili hizi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polisi na zimamoto wanaposema walifanikiwa kuzima moto wakati moto huo umeteketeza kabisa nyumba au gari, wana maana gani? Si moto ungezimika wenyewe?

    Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Jesh la Zimamoto na Uokoaji, limeopoa miili miwili iliyokua inaelea kwenye Maji huko Stakishari

    Jesh la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam, limeopoa miili miwili iliyokua inaelea kwenye Maji katika eneo la Stakishari Ukonga na daraja la Sarenda na kuikabidhi kwenye vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama kwa uchunguzi. Kamanda wa Jeshi hilo Mkoa wa Ilala ,SACF Mabusi...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maendeleo: China haitegemei magari ya zimamoto tena

    China imefikiria upya usalama wa moto hasa katika majumba makubwa na kwa kupitia AI imepata muarobaini wa jambo hilo. Katika jaribio lililodhibitiwa, watafiti waliwasha moto ndani ya jengo kubwa. Ndani ya sekunde chache, mfumo huo unaoendeshwa na AI ulihisi joto joto hilo la moto kwa mbali na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zimamoto ni Huduma, Biashara au Mradi wa Kitapeli?

    Jeshi la Zimamoto lina jukumu la kuokoa maisha na mali. Lakini kwa muda sasa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya maafisa kujihusisha na utapeli na rushwa wakiwa na sare rasmi za zimamoto na wengine gari ya zimamoto ambayo ikitokea maafa ya kweli hilo gari hutoliona. Kuna tozo zisizo rasmi...
  8. cnx

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walioitwa kwenye mafunzo Zimamoto, siyo wale walioitwa kwenye usahili

    Hili ni swali linalohitaji ufafanuzi: kwa nini vijana waliyoitwa kwenye usaili wa Zimamoto kuanzia tarehe 15 Disemba 2025 hadi tarehe 20 Disemba 2025 hawakupata nafasi ya kwenda kwenye mafunzo, ilhali baadhi ya waliokuwa hawakuitwa kwenye usaili wamepata nafasi hiyo? Mtu anajituma na kusafiri...
  9. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Zimamoto wamefika eneo la tukio kufanya uokoaji na kuzima moto hapa NSSH

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo. Soma pia: Dar, Jengo la National Social Security House Posta linawaka moto muda huu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya maombi ajira zimamoto

    Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Zimamoto (Fire and Rescue Force) Announces Various Jobs – November 2025

    Exciting Career Opportunities with Jeshi La Zimamoto Na Uokoaji: 24 Job Vacancies Open in November 2025 The Fire and Rescue Force of Tanzania, known as Jeshi La Zimamoto Na Uokoaji, is a cornerstone of public safety, dedicated to protecting lives and property through expert firefighting, rescue...
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Zimamoto kufanya kazi ya uokoaji kwenye migodi ni mzaha, uachwe

    Tanzania ina migodi mingi sana lakini hakuna kikosi cha wataalamu wa uokoaji migodini! Tanzania inauhusiano wa miaka mingi, cha kushangaza imeshindwa kutumia uhusiano huo kwa kuwaomba watoe mafunzo kwa watanzania kuhusu uokoaji migodini. Afrika Kusini inao uzoefu wa uokoaji migodini kwa miaka...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Zimamoto FC 1 - 1 Yanga SC (Pen:1-3) | Nusu fainali kombe la Muungano | Aprili 29, 2025

    Zimamoto FC 0 - 1 Yanga SC | Nusu fainali kombe la Muungano | Aprili 29, 2025 #MuunganoCup2025: Wananchi wametinga fainali kwa mikwaju ya penati 3-1 FT’: Zimamoto 1-1 Yanga SC (Pen:1-3)
  14. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Zimamoto Msaada

    Nimepangiwa interview ya Zimamoto Temeke, hivi wapo sehemu gani hawa jamaa?
  15. Wakwetu03

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuna nini zimamoto portal

    Kwenye ajira portal zimamoto kuna tatizo gani na mtandao wenu mbona kuna na vikwazo vya kuendelea na maombi ya ajira. Anayehusika jamani weka sawa engine siku zina yoyoma
  17. KingPower

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Habari wakuu poleni na majukumu Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana, Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Portal ya Ajira za Zimamoto inasumbua

    Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa kuomba ajira izo online alifanyaje fanyaje??
  19. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kujisajili website ya Zimamoto

    Uzi tayari.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
Back
Top Bottom