Zimamoto muwe tayari kwa kazi Tanga

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,685
12,319
Habari za mchana?

Muda huu gari aina ya Toyota Hiace inaungua barabara ya 4 maarufu kama Tangamano jijini Tanga.
Si zaidi ya mita 500 toka ofisi ya Zimamoto mkoa wa Tanga.

Zimamoto wamechukua dakika zaidi ya 10 kufika eneo la tukio na walivyofika wakaanza kuvuta mpira kwa kutegea sio kwa haraka kama wanavyojiita jeshi la uokozi.

Rai yangu Zimamoto wawe stand by kukabiliana na hatari yeyote sio wakifika maofisini mwao ni kusaini na kupiga soga.

Mali za watu zinapoungua ni hasara ya kupelekea vifo au msongo wa mawazo.

IMG_20231121_150411.jpg
 
Back
Top Bottom