zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Niko nasikiliza nyimbo zao bora zilizowatambulisha nimegundua kuna tofauti kubwa mno; Sijui kiliwakumba nini vichwani hawa waimbaji siyo bure

    Niko hapa nasikiliza nyimbo mbalimbali za kidunia na kidini! Aisee nyimbo kama za Twenty percent ukisikiliza una feel kabisa ubunifu waziwazi, pia nyimbo kama za prof. J, Wagosi wa kaya, Mwinjuma muumini na wasanij wengine wengi unaona kabisa kuna kitu kilifanyika! (Wasanii na maproducer)...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi zao la alizeti linaweza kupunguza uhaba wa mafuta ya kupikia

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake Kilimo za alizeti...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni

    Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni. Ni huzuni. Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi. Diploma naye hivyo hivyo. Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako heko kwa kazi unayofanya ya kuitisha mikutano ya kusikiliza kero za wastaafu

    Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao. Kongole sana Profesa...
  5. Tonytz

    JamiiForums Tanzania Kauli zao zinapoteza matumaini mengi ya wengi

    Kwanza nianze Kwa kumshukuru Mungu Kwa uzima na afya anayonijalia SIKU zote. Pia nawashukuru JF Kwa kuweza jukwaa hili ili kuibua na kuendeleza mawazo yaliyokosa pa kusema. Wahenga walisema kuwa uyaone. Msemo mwepesi lakini uliobeba majonzi Kwa wale tunaoyaona sasa. Kwanini wanaendelea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa huwa wanajua wazi kabisa wake zao wanapigwa nje ila wanajikausha

    Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza. Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya. Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wanaume wanaogopa kuwawezesha kiuchumi wake zao wanaamini watakuwa jeuri

    UMESIKIA ishu ya baadhi ya wanaume wa Kijiji cha Mapili Kata ya Ilela, Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi? Kama hujasikia ipo hivi, kumbe wanatamani sana kuwawezesha wake zao kiuchumi, lakini wanashindwa kuwawezesha kiuchumi wakihofia wanawake hao kubadilika na kutowasikiliza wakiwa na kipato...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Askari MP wa JWTZ na wa Magereza 'wamekubananisha' katika '18' zao utachagua nani ndiyo wakupe Adhabu?

    Nijibuni haraka kwani kuna safari ( chocho ) ninataka kupita na najua nitakamatwa na Mmoja wao je, nani anisulubishe?
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

    Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa. Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Heko Kwa kikundi cha Mizengwe kwa kazi zao zenye maadili na zinazo fundisha na zenye Uhalisia

    Kikundi hiki kina miaka mingi sana katika sanaa. Mpaka leo mwanaume hajawahi vaa magauni au nguo za ajabu ajabu. Wamekua katika mazingira halisi kabisa na bado kazi zao hazichoshi kutazama. Katika kazi zao mwanaume amebakia kuwa mwanaume na mwanamke nae amebakia katika nafasi yake. Kwa anae...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waloliondo kufurushwa wenye ardhi ya mababu zao ni kielelezo cha ubovu wa katiba yetu

    Kama katiba ingelikuwa nzuri. Wa-Loliondo wasingeondoka kwenye ardhi ya mababu zao. Zuio la kimahakama lingewekwa na rais angeburuzwa mahakamani. Lakn katiba yetu inamlinda rais kuhojiwa na kushitakiwa na chombo chochote kwa kosa lolote atakalolitenda akiwa anatekeleza kazi zake za urais...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mlikuwa mnawindwa, hamkujua na mkajisahau hatimaye mmeingia wenyewe katika 18 zao hawawaachi

    TAARIFA KWA UMMA Tumepokea barua kutoka TCRA ikitutaka tujieleze kuhusiana na Habari tuliyoiandika ikihusisha Maandamano ya Wamaasai kuelekea Ubalozi wa Kenya wiki iliyopita,DARMPYA TV ONLINE inashtakiwa na TCRA kupotosha maandamano yale kwenye ukurasa wa Twitter wa Darmpy Blog. Chanzo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ubaya hauna kwao. Ya Loliondo ni zao la watanzania kutokemea ubaya

    Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake. Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM. -Ndugai, Membe, Sumaye, Lowasa, Lisu, Mbatia, e.t.c -CUF, NCCR, Chadema, Hivi sasa akina Halima Mdee wako bungeni...
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna anaewafahamu hawa watu anipe ABC zao?

    Kwema wakuu Niliona hizi kazi mtandaoni, na kwa vile nilikua na sifa nikaomba.so wamenialika kwenye usaili,ila sijawajua vizuri wanadeal na kitu gan exactly. So naomba mwenye kujua abc zao afunguke hapa. Shukran
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda kazi zao aisee,wewe huipendi kazi yako

  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

    1. Siku hizi kuna Wanaume kwani? 2. Sina hata haja na Wanaume. 3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu. 4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu. 5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae. 6. Wanaume ni Waongo sana. 7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu? IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

    Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu! Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka) Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
  19. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Tabia ambazo hawazipendi wanaume toka Kwa wake zao

    Habar Wana Jf. Dada zangu wanaume hatupendi mtufanye kama mama zetu, hatupendi kuongozwa/ kusimamiwa, haya ndio makosa ambayo wanawake wengi wanayafanya katika ndoa zao. Mwanamke ukiwa na Tabia ya kutaka kumkontroo mume wako basi ujue unakaribisha sinto fahamu katika ndoa yako,labda niwasaidie...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Yalihamishwa makaburi na miili ndani, sembuse hawa Wamasai hai na nguvu zao

    Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni zikiwaonyesha wamasai wakihama kwa ridhaa yao wakielekea makao mapya huko Handeni. Wamejengewa nyumba na...
Back
Top Bottom