Niko hapa nasikiliza nyimbo mbalimbali za kidunia na kidini!
Aisee nyimbo kama za Twenty percent ukisikiliza una feel kabisa ubunifu waziwazi, pia nyimbo kama za prof. J, Wagosi wa kaya, Mwinjuma muumini na wasanij wengine wengi unaona kabisa kuna kitu kilifanyika! (Wasanii na maproducer)
Nimesikiliza pia nyimbo za kina Bahati Bukuku na Rose Mhando n.k aisee hawa wadada walijua kuimba kwakweli!
Ni karibu miaka 15 sasa lakini ukisikia VOCAL, sebene na Ujumbe unaona kuna kitu!
Kama ni sebene unalifeel, kama ni vocal unaifeel, kama ni ujumbe unaufeel hata unaweza kutoa machozi!
Kiufupi nyimbo zote walizotunga wasanii utawala wa Mkapa, na kikwete ziko Super sana! na hakuna anaejiuliza kimetokea nini sasa!
SIJUI WASANII HAWA WALIPATWA NA NINI KICHWANI! Kuna kitu si BURE! kama siyo kulogwa ni madawa!
Kama siyo madawa Basi ni anasa za kidunia zimewatoa kwenye mstari! Kama siyo anasa basi Maproducer wamekuwa feki au kwa ujumla usimamizi wa maadili umepotea!