kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,965
- 26,152
Ni matapeli kimbiaKwema wakuu
Niliona hizi kazi mtandaoni, na kwa vile nilikua na sifa nikaomba.so wamenialika kwenye usaili,ila sijawajua vizuri wanadeal na kitu gan exactly. So naomba mwenye kujua abc zao afunguke hapa.
Shukran
Wabongo bana,sasa hapo katapeliwa nini au kuna viashiria gani vya utapeli?Ni matapeli kimbia
NotedIna maana wewe uliomba kuwa sales manager was nini?
Kama hujui wanafanya nini na hujawahi kuwa sales jiandae kugongwa maswali komki na moja wapi watataka kujua strategy gani utatumia kuwauza.
interview ya kwanza inaweza kuwa simple kwa ajiri ya kukuchuja zaidi.
Cha msingi ingia mtandaoni home kama wapo kama hakuna hakikisha unamuuliza huyo juliana wanafanya shughuli gani