Mlikuwa mnawindwa, hamkujua na mkajisahau hatimaye mmeingia wenyewe katika 18 zao hawawaachi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,920
TAARIFA KWA UMMA

Tumepokea barua kutoka TCRA ikitutaka tujieleze kuhusiana na Habari tuliyoiandika ikihusisha Maandamano ya Wamaasai kuelekea Ubalozi wa Kenya wiki iliyopita,DARMPYA TV ONLINE inashtakiwa na TCRA kupotosha maandamano yale kwenye ukurasa wa Twitter wa Darmpy Blog.

Chanzo: Darmpya Blog
 
Nitakuwa wa kwanza kukemea unyanyasaji dhidi ya vyombo vya Habari, Hili ni taifa huru wasitake yakawa makubwa natoa wito huo upuuzi wanaotaka kuufanya tcra waache mara moja
 
Nitakuwa wa kwanza kukemea unyanyasaji dhidi ya vyombo vya Habari, Hili ni taifa huru wasitake yakawa makubwa natoa wito huo upuuzi wanaotaka kuufanya tcra waache mara moja
Unachonishangaza Unanichukia hadi kuomba nipewe BAN lakini Kutwa tu hauachi Kusoma na Kufuatilia Mada zangu JF!!
 
Back
Top Bottom