Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri?
Tanzania tuna tabu sana!
Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi
Hatusemi kwa ubaya, ni ili tu, wao wajaribu kujitahidi saana kuendana na wakati, Tanzania sio sehemu ya kujaribishiana...