Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.
Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima...
Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa
Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani?
Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku.
Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu (...
Kuna watoto wanapewa majina ya watu maarufu sijajua wazazi uwaga wanaza nini •
Kijijini kwetu hata hapa mjini kuna watu wanatumia majina ya watu maarufu na ni majina yao sahihi waliopewa na wazazi wao. Kwa mfano kuna wanaume wanaitwa .William, Mkapa, Nyerere, Kikwete, Riziwan , Mwinyi...
Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri?
Tanzania tuna tabu sana!
Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi
Hatusemi kwa ubaya, ni ili tu, wao wajaribu kujitahidi saana kuendana na wakati, Tanzania sio sehemu ya kujaribishiana...
Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo
Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD
Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana
Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
Ninaona imeshawahi kujadiliwa mara kadhaa hapa. Hili jambo la taasisi zote kutoona umuhimu wa mawasiliano ya simu kiukweli linakera sana. Zama hizi siyo zama za kufunga safari kwenda ofisi fulani kuulizia vitu basic kabisa..
Changamoto:
1. Taasisi nyingi hazina mawasiliano ya simu kwa website...
NI MAVAZI AMBAYO MTU HAWEZ KUVAA MBELE YA BABA YAKE MZAZI LAKINI ANAONA NI SAWA MBELE YA BABA MTAKATIFU .!!
Imeshakuwa kama kawaida sikuhizi wakristo kuhamia rasmi mavazi kulingana na tamaduni za wazungu na sio maandiko, mavazi haya yasiyositiri yamechangia kuleta mmonyoko wa maadili kwa...
MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO - HABARI NJEMA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA
MASWALI NA MAJIBU WIZARA YA KILIMO
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiuliza swali Wizara ya Kilimo - "Wizara ya Kilimo ina Mkakati gani wa kuhakikisha wakulima wa Kahawa Wilaya ya Ngara wanaendelea...
Mara nyingi wamiliki wa biashara (kampuni) wengi huwaamini wafanyakazi wao kuendesha biashara zao katika idara tofauti za kampuni husika.
Wafanyakazi hawa huharibu biashara za mabosi wao either kwa bahati mbaya (makosa ya kibinadamu) au kwa kukusudia. Makosa ya kukusudia huwa wanafanya kwa...
Umoja wa Mataifa unaangazia kusitisha shughuli zake nchini Afghanistan baada ya Taliban kuwazuia wanawake kufanya kazi kwenye mashirika ya umoja huo nchini humo.
Taarifa iliyoachapishwa mapema leo imesema, ujumbe wa Umoja wa Mataifa umesema zuio hilo la Taliban linakiuka sheria ya kimataifa na...
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.
Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto...
Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda...
Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli, ingekua na tija kama angefaulu kuiteka Ukraine ndani ya muda mfupi ila kwa sasa hali imekua hovyo...
Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki?
Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi?
Je, ni wivu? Kwamba wanaogopa kuonewa wivu na kundi kubwa la watu wanaowazunguka na kuwafahamu?
Kwanini...
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku 'Musukuma'
Vikao vya bunge vimefunguliwa rasmi leo tarehe 4/4/2023. Katika kikao cha leo, shughuli za Bunge zilisimamishwa kwa ajili ya Azimio la kumpogeza Rais, ambapo Wabunge walipata nafasi ya kutoa pongezi zao.
Kwa upande wa Mbunge wa Geita Vijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.