Heri za Siku kuu ya Eid na Baraka tele za Mfungo wa Ramadhan. Poleni kwa kupambana na maisha na Ugonjwa thikili wa Corona.
Sasa wakati wa kufuma viongozi watakao iongoza ama kuitawla nchi zetu mbili ndani ya Jamuhuri ya Muungano umefika.
Ila jioni ya leo nitajihusisha upandewa Zanzibar. na...