Mahakama Kuu ya Zanzibar ina umri gani?

Kisanduku

Senior Member
Jul 9, 2009
157
250
Wiki jana ilikuwa ni sherehe za miaka 100 ya Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ukiangalia kiusahihi utaona kwamba hii ni miaka 100 ya Mahakama ya Tanzania Bara.

Hii ni kwa sababu Zanzibar wana mahakama yao tofauti kabisa na hii iliyotimiza miaka 100.

Nasikia Mahakama ya Zanzibar ilianza mwaka 1979 chini ya Rais Aboud Jumbe.

Hivyo Mahakama ya Zanzibar haijatimiza miaka 43.

Jadiliy.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom