zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Kodi za Tanzania Bara zifanane na za Zanzibar

    Kwa jina la JMT. Sijashuhidia hili ila miaka mingi nimekuwa nasikia kuwa kodi huko visiwa vya Zanzibar iko chini sana. Zamani ndugu yangu mmoja alikuwa anafuata vitu huko. Juzi kati kuna jamaa yangu kanunua TV huko. Hata magari nasikia kodi ipo chini sana. Napendekeza kodi za Bara ziwe sawa na...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Zanzibar wana shirika la ndege?

    Zanzibar wanategemea sana utalii. Inaingia akilini wakimiliki shirika la ndege. Wanalo? Wamewahi kuwa nalo?
  3. JamiiForums Tanzania Katiba sasa ibadilishwe Zanzibar kuondosha ukomo wa muda wa Urais

    Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka kumi ikiisha Kwa uwezo wa Mungu. Sote tunashuhudia siku chake tu amefanya Mambo makubwa sana. Na hii...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi tunaomba Serikali iruhusu kuingia kwa chanjo Zanzibar ili watu waweze kwenda Makkah

    Rais Ali H. Mwinyi kama unavyojua Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano wa Tanzania lakini kwenye masuala ya afya kila upande una wizara yake. Sasa kwa kuwa wakazi wengi (Majority) yao tunaoishi Zanzibar na Pemba ni Waislamu na huu ni Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan. Ombi letu kwako ni kuwa Wazinzibari...
  5. JamiiForums Tanzania New Jobs at The Madrasa Early Childhood Programme – Zanzibar (MECP-Z), April 2021- (5 Various Posts)

    1. JOB TITLE: OFFICE ATTENDANT (1 position- Pemba) Major roles and responsibilities ● Cleaning and maintain the sanitary of the premises which includes Offices and College along with surrounding environment. This goes along with ensuring the maximum hygiene of all office premises facility...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Nani hasa Mwenyeji wa Zanzibar? Je, ni Muafrika, Muarabu, Mshirazi au wote?

    Ndugu Wana Jukwaa Kuna maneno mengi yasioningia katika mizani ya akili yanayozungumzwa na watu hasa wenye asili ya Tanganyika kuhusu Zanzibar na Uzanzibari. Watu wamekuwa wakiunda historia ya zanzibar kutoka katika hisia na wivu wao binafsi. Historia ya kuunga unga vipande, historia isio na...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Zanzibar

    Akiwa visiwani Zanzibar Samia alihudhuria swala ya kumswalia Hayati mzee Karume ambaye ni mpigania uhuru na mwasisi wa Taifa la Zanzibar. Mheshimiwa Rais Samia mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K Nyerere ameelekea Ikulu ndogo ya Magogoni iliyopo Dar es Salaam...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Zanzibar ni ya waafrika au ni ya wazanzibari?

    Kutokana na kutokujielewa kwa Viongozi wengi wanaojiita ni Wazanzibari na wafuasi wengi hususan wa Chama Tawala (CCM) upande wa Zanzibar juu ya nyimbo wanayoimbishwa na Wasakatonge ya (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA!!) pasi na kutotaka kujiongeza kwa kujua MUAFRIKA ni nani??? na MZANZIBARI ni nani...
  9. JamiiForums Tanzania Tuinyooshe Katiba kabla ya kunyoosha maslahi Tanzania, Zanzibar na Tanganyika ndani ya Muungano

    Ili kuyafafanua masilahi ya Zanzibar ndani ya Muungano lazima kwanza useme kweli tupu ni kwanini Tanganyika haipo Tanzania lakini Zanzibar ipo Tanzania. Pili, useme kweli tupu kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ama ni nchi. Katiba lazima inyooshe kuhusu maswali haya maana ndiyo yatakayotumika...
  10. JamiiForums Tanzania Mkakati wa kurahishisha maisha ya watoto: Nawezaje kufanya mtoto apate uraia wa Zanzibar?

    Sote tunajua Mzanzibari ni mtu mwenye nafasi kubwa sana nchi nzima ya kupata ahueni ya maisha. Tukianza kazi Wazanzibari walioelimika hata kidogo tu wakija kuomba kazi bara huwa wanapewa kipaumbele kikubwa kwasababu ya kuwa Wazanzibar. Ukija hata jeshini huku wazanzibar huwa wanapewa upendeleo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar

    Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021. Nini maoni yako. #MitanoTena
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

    Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi maarufu kwa jina la ‘Mzee Ruksa’ leo anatimiza miaka 90. Bado ana nguvu, mchangamfu, mcheshi na anapopata fursa, anawafundisha Watanzania matumizi ya Kiswahili Sanifu na kutoa ushauri juu ya umuhimu wa elimu na kuishi kwa amani na ushirikiano bila ubaguzi...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Omari Fakih Hamad ashinda Jimbo la Pandani, Zanzibar

    Mgombea uwakilishi jimbo la Pandani kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Prof; Omar Fakih Hamad, ameibuka mshindi baada ya kupata kura 2361 dhidi ya kura 1934 alizopata mgombea wa CCM kwenye uchaguzi mdogo katika Jimbo hilo. Jimbo la Mpandani limefanya Uchaguzi wa Mwakilishi kufuatia kifo...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna haja Marais wote wajao wa Tanzania wawe wanatoka Zanzibar

    Kwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano tumeshuhudia uwekezaji katika maendeleo ukiwa zaidi kanda ya Ziwa na hasa mikoa ya Geita, Mwanza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Waziri Kabudi utakuwa umejifunza jinsi ya kutoa Hotuba fupi na yenye Mambo yote Muhimu kama aliyoitoa Rais Mwinyi wa Zanzibar

    Kwa ninavyokujua Mzee wangu Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi ungepewa Wewe nafasi ya Kuzungumza Zanzibar leo usingetumia dakika 15 tu alizotumia Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi. Hongera sana Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Hotuba yako nzuri, fupi, yenye Mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

    Watu tayari wameshaanza kufurika Uwanja wa Amani Zanzibar. ==== MWILI WA HAYATI DKT. MAGUFULI WAWASILI ZANZIBAR Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umewasili Visiwani Zanzibar ukitokea Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, ambapo shughuli ya kumuaga kitaifa ilifanyika jana Machi 22, 2021. Mwili wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje kamati ya uratibu wa mazishi ya Magufuli, hapo awali "waliwaengua" Zanzibar katika shughuli ya kuaga mwili?

    Kama tujuavyo ni kuwa hapo awali kamati ya mazishi ya marehemu Magufuli, hawakuwaweka katika orodha ya awali Zanzibar, miongoni ya miji ambayo wakazi wake watapata fursa ya kuaga mwili. Kama tujuavyo ni kuwa katika ratiba ya awali wa kuaga mwili wa marehemu Magufuli, iliorodheshwa miji ambayo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru umefurika sana!, watu Washindwa kuaga. Watakiwa kujipanga barabarani kuelekea Uwanja wa ndege ili waweze kupunga mkono

    Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho. Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana. Maendeleo hayana vyama!
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni nafasi adhimu kwa Zanzibar kuitumia kutatua kero za Muungano

    Ndugu zangu, kwanza nitoe pole kwa wote kufuatia kifo cha Raisi wetu mpendwa. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 37(5) Makamo wa raisi, mama Samia, ndiye atakaye kuwa raisi wetu kwa kipindi chote kilichobakia kuelekea...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mwaka 1994 Wazanzibar walivyokasirika Rais wa Zanzibar kuondolewa kuwa Makamu wa Rais wa Muungano?

    Kabla ya vyama vingi kuja Rais wa Zanzibar alikuwa moja kwa moja ni makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Vilipoanza vyama vingi ilibidi kubadili katiba tume ya Bomani (RIP) ikapendekeza kuwe na makamu wawili na wagombee pamoja uchaguzini na watoke chama kimoja. Mapendekezo yakasema kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…