Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi 2025 usipokuja Kugombea Bara tutaandamana uje uwe Rais wetu Kilazima, tunakuhitaji mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,920
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.

Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
 
Wewe jamaa haueleweki. Kuna nyuzi kibao unamsifia JPM na kuna nyuzi kibao unamponda JPM. Kuna nyuzi kibao unamsifia mama na kuna nyuzi kibao unamponda mama. Kuna nyuzi kibao unamsifia Bashite na kuna nyuzi kibao unamponda Bashite. Kwa kifupi wewe ni shithole.
 
Popoma punguza tamaa
 
Genta siku hizi siandiki sana humu kwa sababu ukiandika unaandika mawazo yangu.

Hili jambo CCM waliweke kwenye mipango yao. Mama apumuzike sasa baada ya kumaliza mda wake wa awamu ya tano la sivyo aandae mipasho ya kutosha.
 
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.

Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
Kamchukue huyo mwinyi kanywe nae chai!

Unazungumza kwa niaba ya nani?

Jiandae tu Samia ndo Rais wa JMT hadi 2030

Alafu wewe mtutsi mambo ya Tanzania yanakuhusu vipi?
 
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.

Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
2025 atagombea samia, akimaliza huyo 2030 atatakiwa aje mkristo tena ambaye hatoki zanzibar. sitaki kumungúnya maneno.
 
Dada yake ameridhia?
Unamuhitaji wewe na nani?
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.

Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
Unamuhitaji wewe na nani? Sisi wote?
 
Wewe jamaa haueleweki. Kuna nyuzi kibao unamsifia JPM na kuna nyuzi kibao unamponda JPM. Kuna nyuzi kibao unamsifia mama na kuna nyuzi kibao unamponda mama. Kuna nyuzi kibao unamsifia Bashite na kuna nyuzi kibao unamponda Bashite. Kwa kifupi wewe ni shithole.
Haeleweki vipi, kila mtu ana mabaya na mazuri yake, akifanya zuri atasifiwa na akifanya baya atakosolewa sioni shida kwenye kumkosoa mtu ili umuweke sawa.
 
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.

Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
Utamaduni wa Chama chenu kwani ukoje?
 
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.

Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.

Kwahiyo Tanganyika hakuna wanasiasa hadi tu import nchi ya jirani.
 
Wewe jamaa haueleweki. Kuna nyuzi kibao unamsifia JPM na kuna nyuzi kibao unamponda JPM. Kuna nyuzi kibao unamsifia mama na kuna nyuzi kibao unamponda mama. Kuna nyuzi kibao unamsifia Bashite na kuna nyuzi kibao unamponda Bashite. Kwa kifupi wewe ni shithole.
Nakazia
 
Wacha tu itokee vita ya kaka na dada.
Kwani mwenyekiti wa chama ni nani? Mnapoteza muda wenu kupiga porojo tu hapa.

Katiba ya ccm inakwenda kurekebishwa 1 April, msije mkasema ni April fool, uchaguzi ujao mama anaendelea na Uenyekiti bila uchaguzi na Rais yeyote atakayetokana na ccm atakuwa mwenyekiti direct bila kufanyika uchaguzi.

Endeleeni kuota ndoto za kimweri kina Zitto Kabwe wamehakikishiwa ajira kwa miaka 9.
 
Wewe jamaa haueleweki. Kuna nyuzi kibao unamsifia JPM na kuna nyuzi kibao unamponda JPM. Kuna nyuzi kibao unamsifia mama na kuna nyuzi kibao unamponda mama. Kuna nyuzi kibao unamsifia Bashite na kuna nyuzi kibao unamponda Bashite. Kwa kifupi wewe ni shithole.
Mmmmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom