Mzee Mohamed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
2,125
3,130
Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes.

Hata siku moja sijaona makala yake namna ambavyo JOHN OKELLO alivyoongoza kikosi cha mapinduzi kule Zanzibar wakati hayati Karume yuko Dar es salaam usiku huo. John Okello baada ya kumpindua Muarabu akatangaza baraza la mapinduzi na kumtangaza Karume kama rais wa Zanzibar kupitia vyombo vya habari.

Siku moja baadae akampokea Karume pamoja na Abdulrahman Babu kutoka Tanganyika walikokuwa wamefichwa na Nyerere.

Mganda Mkristo John Okello huwezi kukuta ametajwa kwenye waasisi wa mapinduzi.

Mzee Mohamed Said mbona huandiki mambo haya? Kila siku wewe ni Nyerere na wazee wa kariakoo tu?
 
Kwahiyo na wewe umemuunga mkono mzee Mohamed Said anapojulisha umma juu ya tabia mbaya ya kufichwa kwa historia, sasa nani alaumiwe kati ya yule aliyeficha historia au yule anayejulisha umma juu ya hila za ufichwaji wa historia??

John Okello hatajwi kwakuwa yeye ni Mganda, utaifa wake ndio umemponza licha ya kuwa yeye ni mkristo.
 
Karume pia ana asili ya Malawi au hujui hiyo?
 
Karume pia ana asili ya Malawi

Sio kweli, Karume ni jina lenye asili ya Wamanyema, Majina hayo yanapatikana sana Kigoma miongoni mwa Wamanyema, Kigoma ndio lango la wamanyema kuingia Tanganyika kutoka Masharikk ya DRC, kutoka Kigoma wakaingia Tabora hadi Dar na Zanzibar.
 
Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes.

Hata siku moja sijaona makala yake namna ambavyo JOHN OKELLO alivyoongoza kikosi cha mapinduzi kule Zanzibar wakati hayati Karume yuko Dar es salaam usiku huo. John Okello baada ya kumpindua Muarabu akatangaza baraza la mapinduzi na kumtangaza Karume kama rais wa Zanzibar kupitia vyombo vya habari.

Siku moja baadae akampokea Karume pamoja na Abdulrahman Babu kutoka Tanganyika walikokuwa wamefichwa na Nyerere.

Mganda Mkristo John Okello huwezi kukuta ametajwa kwenye waasisi wa mapinduzi.

Mzee Mohamed Said mbona huandiki mambo haya? Kila siku wewe ni Nyerere na wazee wa kariakoo tu?
Mzee mdini mtupu..kila analowaza na kulifanya.

Kutwa kulialia anahujumiwa na ndugu zake..ili hali elimu kapatiwa na kanisa.

Mzee kilizi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lever,
Tuanze darsa la John Okello.
Ingia hapo chini usome nilivyomweleza Okello:

Mzee mdini mtupu..kila analowaza na kulifanya.

Kutwa kulialia anahujumiwa na ndugu zake..ili hali elimu kapatiwa na kanisa.

Mzee kilizi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe...
Ukija na lugha za kebehi na kejeli mimi nitashindwa kufanya mjadala.
Ikiwa unataka tujadili hili somo itabidi uwe muungwana.
 
Sio kweli, Karume ni jina lenye asili ya Wamanyema, Majina hayo yanapatikana sana Kigoma miongoni mwa Wamanyema, Kigoma ndio lango la wamanyema kuingia Tanganyika kutoka Masharikk ya DRC, kutoka Kigoma wakaingia Tabora hadi Dar na Zanzibar.
Karume ni mmalawi,Ila baba yake wa kufikia ni mmanyema,ndiko alikotoa jina la karume
 
Kama umechoka kuishi chokonoa historia ya zenji na muungano

Ina...
Mbona historia ya Zanzibar na muungano imeandikwa na waandishi wengi na bado wapo?
Kitabu kipya ni hicho hapo chini cha Khamis Abdulla Ameir (2022).

Kitabu hiki kina kurasa 500+ na ameyachambua mapinduzi na muungano kwa undani kupita mwandishi yeyote yule.

1649448465607.png
 
Ina...
Mbona historia ya Zanzibar na muungano imeandikwa na waandishi wengi na bado wapo?
Kitabu kipya ni hicho hapo chini cha Khamis Abdulla Ameir (2020).

Kitabu hiki kina kurasa 500+ na ameyachabua mapinduzi na muungano kwa undani kupita mwandishi yeyote yule.

View attachment 2180958
Una soft copy mzee,niteleze kitonga,najua hicho kitabu so chini ya laki
 
Karume ni mmalawi,Ila baba yake wa kufikia ni mmanyema,ndiko alikotoa jina la karume

Je waweza thibitisha hilo??---- Malawi na Zanzibar enzi hizo kijiografia na kidemografia mbona ilikuwa kinyume sana!!!😱
 
Jidanganye,palikua na link Kati ya zenji-tabora-kigoma-congo kitambo,pembe za ndovu etc
 
Back
Top Bottom