zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kushukuru! Zitto hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu tangia zamani

    Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo. Zitto kabla ya Lissu alikuwepo na alikuwa maarufu, kabla ya mnyika, Kigaila Heche, Msigwa, Sugu na...
  2. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwaajili ya mpenzi wake wa zamani

    Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa zamani, tunakabiliwa na ukosefu wa amani ambao hatukuusababisha sisi. Tunachumbiana na kuwa kwenye...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zinauza bangi / gongo mitaani toka zamani mpaka watoto wamerithi, hili linawezekana vipi?

    Kuna nyumba zimezoeleka miaka nenda rudi kuuza bangi na gongo mitaani, hadi sasa ukienda zinaendelea, unaweza kukuta watoto ndio wanaoziendeleza baada ya wazazi wao kustaafu. cha ajabu mapolisi wapo, na tena huwa wanabadilishwa wanakuja wengine wapya. Wote tunajua kuuza huu mmea ama gongo...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  5. J_Okay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kujengea makaburi zamani walimudu wachache wengi waliweka alama za miti kwenye makaburi ya wapendwa wao

    Miaka ya hivi karibuni imekua ni wajibu kujengea kaburi. Mpaka miaka ya 60, si wengi walimudu gharama za kujengea kaburi. Baada ya mazishi mlisubiri mvua na kupanda tawi au shina la mti pale kwenye kaburi. Mvua zikikatika mti unakua umeshaota na kushika. Hii ndiyo alama ya kukumbuka kaburi...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Watakatifu ni wazungu waliokufa zamani. Waafrika waliokufa zamani eti ni mizimu

    Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana. Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu. Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85

    FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha mpito cha taifa kuelekea demokrasia, alikuwa amepatikana na saratani mwaka huu, kulinagana na...
  9. THE SPIRIT THINKER

    JamiiForums Tanzania Mfumo wetu wa jua ulivyo jiumba hapo zamani za kale

    FAHAMU SAYARI ZETU 8 ZILIVYOJIUNDA 🤔 Sayari zimeanza kujiunda mara baada tu ya mfumo wetu wa Jua ulivyomaliza kuundika kutokana na mawingu mazito yenye gesi na mavumbi mavumbi yatokayo huko interstellar space Mawingu mazito yalipasuka kutokana na mvumo au twaweza kusema shockwave iliyotokea...
  10. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania jitafakarini kwanini hamfuatiliwi mijadala yenu kama zamani

    Lipo tatizo tena kubwa mno kwenye Mhimili wetu wa Bunge la Tanzania. Binafsi,hadi mchana wa leo sikuwa natambua kwamba vikao vya Bunge vimeanza huko Dodoma na imani yangu ni Watanzania wengi ambao pia hawaelewi kuhusu vikao hivyo kama vimeanza. Sasa,kwa aina hiyo ya kupuuzwa lazima Bunge letu...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mbowe angefungwa zamani sasa hivi Upinzani Ungekuwa Umeshakufa. Na hii ndio namna Bora ya kutumia Akili kuzuia Jambo kuliko nguvu

    Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima. Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake wanaokosea. Alishamtetea Zitto Mara kaadhaa. Kuongoza upinzani Afrika na ukasimama ni zaidi ya kuwa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wahadhiri hawapelekwi tena kusoma 'postgraduate degrees' kwenye vyuo vyenye hadhi kubwa duniani kama ilivyokuwa zamani?

    Habari wadau, Nimegundua wahadhiri wengi wa vyuo vyetu vikuu wapya kama udsm, udom, mzumbe etc hawaaandaliwi kwa kupewa elimu nzuri kama wazee wa zamani. Ni kawaida sana siku hizi kukuta lecture cv yake imejaa local university tu kuanzia degree ya 1 mpaka Phd. Huku ukicheki wahadhiri wazee Ma...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania TTB: Jinsi biashara ya ku burn CD ilivyowajaza pesa vijana hapo zamani

    Kuna biashara za misimu, na katika hizi biashara kuna biashara niliyoshuhudia kwa macho yangu iliyotajirisha mno vijana, biashara hii ilikuwa ni ku burn cd miaka ya 2000 hadi 2006 Mimi nitazungumzia scenario ya mkoa niliopo wa nyanda za juu kusini. Enzi hizo miaka ya 2000s bongo flava ilikuwa...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC wasifungue YouTube channel waweke nyimbo za zamani?

    Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD. Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na malaria test kit, ni bora mafundi maabara watumie hadubini kama zamani

    Zaidi ya mara nne naenda kupima naambiawa hakuna malaria. Nikiangalia mwili wangu upo hoi na hauna nguvu, watu wa hospital Hai wanapima kwa kutumia Malaria test Kit. Mbona hawatumii darubini kama zamani? Maana matokeo yanazingua jamani, mtu unaumwa alafu unaambiwa hauumwi.
  16. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa @ChelseaFC, @MichaelEssien kushuka kiwango

    Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango. Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji Arnold Mensah Elavanyo katika kipindi cha Vibes in 5, alisema kwamba alishusha kiwango cha Essien...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbwiliza, Natamani uongelee awamu 6

    Kama kuna mstaafu wa kisiasa utavutiwa kusoma maoni yake pindi afanyapo mahojiano na waandishi wa habari ni Prof. Joseph Mbwiliza. Huyu ni mbunge wa zamani wa Kasulu kabla ya kugawanyika na kuwa majimbo 3, Mjumbe wa NEC akiwakilisha mkoa wa Kigoma enzi hizo, RC wa Kilimanjaro na Naibu waziri...
  18. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Hili la kuzuiliwa kwa maiti sababu ya bili kubwa mzizi wake ni huu, Wizara ya afya rudisheni utaratibu wa zamani

    Haka ni katatizo kadogo sana ambako wizara inajua mzizi wake ni nini, kama hawajui basi nawajuza. Kwanza hili tatizo huwezi kulisikia kwenye hospitali zifuatazo, kama lipo basi ni kwa udogo sana: Hospitali za Wilaya, Mikoa, Vituo vya Afya, Hospitali binafsi. Hili tatizo utalikuta hospitali...
  19. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hivi ni majukumu au ubinafsi unaofanya watu wasiwe karibu kama zamani?

    Leo nimewaza sana, Nakumbuka miaka ya zamani tunakua, kulikuwa na ukaribu mkubwa sana baina ya watu. Ilikuwa inafika kipindi watu wa mtaa mzima tulikuwa tunafahamiana vizuri kabisa hata kutembeleana. Hili lilikuwepo kuanzia mitaa ya uswahilini, hadi uzunguni. Kuanzia shuleni, tulikuwa tunasoma...
  20. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukipata kipya usisahau cha zamani

    Nawakumbusha wanaume wenzangu wote wenye mke zaidi ya mmoja. Mke mdogo asikufanye ukamsahau au ukampuuza mke mkubwa. Mke mdogo amenifanya nizidi kumpenda sana mke mkubwa. Naongea kikubwa kwa elimu na maarifa na kwa insafu tuwapende wake zetu, watoto zetu na wale walio karibu yetu. Ukweli...
Back
Top Bottom