Tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Nchi yetu kwa Mwezi ule wa 3 miaka kadhaa iliyopita.
Bado tunaamini atatenda tena kwa njia zake, Maana Mungu haishiwi mipango.
Tuna amini kwamba kilichomkuta Dikteta Jiwe kitawakuta hata Hawa Madikteta Wapya, Mungu hataniwi, Huwezi kuua maelfu ambao...