zama

Zama, also known as Xama, in what is now Tunisia is best known for its connection with what is called the Battle of Zama, in which, on 19 October 202 BC, Scipio Africanus defeated Hannibal, ending the Second Punic War with victory for the Roman Republic, and breaking the power of Ancient Carthage.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Zama za Iddi Amin na kaburu Peter Botha zimerejea Tanzania?

    Kwamba sasa hivi ndugu yako akiitoweka na watu wasiojulikana hautamuona tena au utakutana na maiti yake. Mbona hapa kwetu haya mambo hayakuwepo? Hata kama yalikuwepo sio kama hivi. Style ya special branch ya makaburu. Style ya State research bureau ya Amin.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

    Kwema Wakuu! Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl. Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha. Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala...
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaoamini katika zama za giza za awamu ya Tano basi Mpina, Makonda na Tundu Lissu ni watu sahihi wa kwenda nao

    Binafsi pamoja na mapungufu ya Awamu ya tano ambayo baadhi ya wanasiasa wanakiita kipindi cha giza, bado naamini ndio kipindi ambacho mambo mengi ambayo yalionekana magumu yalianzishwa na sasa yanakamilika tunaona manufaa yake. Hawa watu niliotaja wana sifa zinafanana sana na hayati Magufuli...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sikujua kuwa kumbe hata Zama hizi za Sasa bado kuna Wanaume 'Hopeless' kabisa kama huyu

    Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye. Chanzo: mwananchi_official Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo...
  5. rosesalva

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha familia kama taasisi ya malezi katika zama zenye ongezeko la makanisa na matumizi ya teknolojia katika huduma

    Familia na dini zimekuwa zikiaminika kama taasisi muhimu katika hatua za awali za malezi na makuzi ya watoto wadogo na hata vijana wa rika balehe kwa kuwapa mafunzo na miongozo inyowajenga kiimani, kiakili na kiroho. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi kufikia 2024 katika nchi ya Tanzania kumekuwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo kwenye process ya kuingia kwenye kurasa mpya, na zama mpya

    Kama kisemavyo kichwa cha habari Tanzania inaingia kwenye zama mpya yafuatayo ni matukio yatakayo tokea kama njia ya Tanzania kuachana na zama zilizopita na kuingia zama mpya Kuna ishara itatokea kwenye marais waliofariki na chama flani cha siasa; ishara hizo ni za ajabu ila zikitokea jua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

    Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu.. huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
  8. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni njia za kuondoa machawa

    Tunafahamu machawa wamekua wengi na wanazidi kuongezeka zifuatazo ni njia za kuwaondoa machawa;- Kuondoa wakuu wa wilaya Watu wengi wanakua machawa kwa matarajio kwamba watapata ukuu wa wilaya, kuondoa nafasi ya wakuu wa wilaya ni moja ya njia ya kupambana na tatizo la uchawa Rais kutokuchagua...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Series, hadithi za mambo mbalimbali ya zama za uumbaji

    GALACTIC HISTORY Swerdlow anaandika kwamba kuna AINA SABA tofauti katika himaya ya DRACO. Aina moja ina ngozi nyeupe iliyogawanyika, macho kama ya paka, mbwa na Taya na meno yaliyotawanyika. The DRACO walitawala DUNIA maeneo ya Pacific HIVI leo ambapo kulikua na bara lililo potea au lililo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

    Video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi Mikongeni, ambayo ni Shule ya Msingi ya Umma (Inamilikiwa na Serikali) yenye Mchepuo wa Kiingereza. Shule ni nzuri kwa miundombinu yote. Hata hizi shule za binafsi tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina Juniour na kulipishwa ada milioni...
  11. Half american

    JamiiForums Tanzania Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

    Habari wakuu, Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume. Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Zama hizi wanawake wote wanaojiweza kiuchumi hawataki kuolewa

    Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi. Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:- 1. Salama Jabri. 2. Fatuma Karume. 3. Maria Sarungi. 4. Kajala. 5. Dinar Marios. 6...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Zama za Haji Manara zipo ukingoni na asipokuwa makini zitalazimishwa kutamatika

    Wakati mwingine ujuaji usio na kiasi huweza kumsababishia mhusika matatizo yasiyo ya lazima mbele ya safari ambayo pengine angefika salama. Haji Manara kwa mfano. Bwana yule hujifanya anayo mengi ayatambuayo. Na kutokuwa kwake makini na ayasemayo, hatimaye yanaelekea kumfitinisha hata na...
  14. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Wafa Sultan: Hakuna Mgongano wa Ustaarabu bali Mgongano kati ya Mawazo ya Zama za Kati na ile ya Karne ya 21

    Zifuatazo ni sehemu za mahojiano na mtaalamu wa magonjwa ya akili Mwarabu na Marekani Wafa Sultan. Mahojiano hayo yalirushwa hewani na Al-Jazeera TV mnamo Februari 21, 2006 . Wafa Sultan: Mgongano tunaoshuhudia duniani kote sio mgongano wa dini, au mgongano wa ustaarabu. Ni mgongano kati ya vitu...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mguu aliyoondokea Chongolo unavyoweza kukaribisha zama ngumu CCM

    DANIEL Chongolo kujiuzulu ukatibu mkuu CCM, linaweza kuwa jambo lisilo na uzani mkubwa. Mguu ambao ameondokea, unaweza kuchora mstari wa ujio wa zama za tofauti kabisa. Kwa uongo au usahihi wa tuhuma za Chongolo, zilizomfanya aandike barua ya kujiuzulu, zinachagiza mwanzo mpya. Chongolo...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Zamani watoto walitafuta wazazi wao waliowatelekeza, zama hizi wazazi ndiyo wanatafuta watoto wao

    Kwema Wakuu! Sikuwepo zamani sana. Lakini miaka ya tisini mpaka elfu mbili hivi ilikuwa kawaida Baba kumtelekeza mtoto au watoto huku akiacha maneno ya shombo, jeuri na kiburi. Kuwa akikua atanitafuta mwenyewe. Na kweli zamani hizo niliona watoto wengi wakifanya hivyo, wakitafuta wazazi wao...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hard disks ni teknolojia ya zama za kale, zina uwezo mdogo wa kufanya kazi kwenye computer / Laptops, weka SSD kwa bei rahisi speed ya radi

    Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks. Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kila kitabu na zama zake, corner sofa ndiyo habari ya mjini leo.

    Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu. Ukiwa na ukuta mweupe blue...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Zama zimebadilika, demokrasia nayo ichukue maana halisi kulingana na historia yake

    Tunakumbushwa madarasani pia hata mitandaoni kuwa demokrasia ilianza katika mji ATHENS - Ugiriki ambapo watu wachache wenye busara zao walifanya maamuzi juu ya mustakabali ya mji wao ndiyo maana wengi tunaelezea demokrasia kama ni watu (wachache) wanaongoza walio wengi ila tumewaondoa wanawake...
  20. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Mambo ya JF na zama zake

    Wasalam, Leo katika pitapita zangu humu jamvini nikakutana na andiko moja kutoka kwa member fulani (simkumbuki jina) akihoji ni muda gani watu wa jf hufanya kazi sababu wapo baadhi ya members (nikiwepo mimi mwenyewe) kila uchwao ni kukesha na kuzurula mitaa tofauti ya humu ndani, kiukweli...
Back
Top Bottom