zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dodoma kama jiji, barabara zake wekeni lami

    kwetu sisi ambao tuna makazi Dodoma, wakati fulani tunaenda kuishi Dodoma na wakati fulani tunarudi jijini, kuna kitu kinakera sana Dodoma, nacho ni barabara za mitaani, hata kipindi cha mvua mbacho wamesema hakiko mbali.(walituambia kuna uwezekano el ninyo ikaja october). Serikali, Dodoma...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Albert Msando kaona mama Tibaijuka kapuuza na hoja zake ameamua kujiposti yeye na nguo zake za mahafali na CCM

    Nchi imevurugwa, mkuu wa Wilaya ya Handeni alitafuta popularity kwa bibi wa Taifa mama Tibaijuka; bibi wa Taifa alijibu once then ila Msando amezungumza hadi maneno yameisha Nadhani hakujiandaa, sasa hivi ameona athibitishe hoja za kuuzwa bandari kwa mavazi yake ya mahafali may akiamini watu...
  3. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wasitisha shughuli zake nchini Niger

    Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama. Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza tamaduni zake

    Husika na kichwa cha habari cha mada hii. Ni kweli kuwa Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza utamaduni wake na kuiga tamaduni za nchi nyingine za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Katika swala la utamaduni kwa upande wa Tanzania basi haishikilii chake inatupa na kushikilia ya wageni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…