Gharama za viwanja Tabata - Chang'ombe zikoje

Free from obstacles

New Member
Sep 17, 2023
1
0
Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa ushirikiano wenu wakuu kujua bei zake za viwanja Tabata ili nipate uzoefu. Shukrani
 
Sehemu kubwa ya Tabata Chang'ombe ni makazi ya watu, viwanja vipo vichache sana ndugu yangu. Hata hivyo, unaweza kununua nyumba ya mtu kuanzia sh milioni 50 halafu ndio ujenge. Ingawa kiwanja unaweza kukipata kwa shilingi milioni 30 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom