Mm sio mteja ila nataka kujua sababu nimepata idea ya kutengeneza mabango ya kuwaka kwa kutumia tv chakavu.
Mfano hili ni la tv nch 19 na pia nina tv nch40 je hili la nch 40 nikitaka kumtengenezea mteja nimchaji ngapi?
Ni kubandikia tu stika basi. Ni flat flat kweli sio zile zinakaa taa kwa nyuma.
Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 .
Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
Wakuu salama,
Kuna hili suala limekuwa likinitofautisha sana mawazo na marafiki zangu, nikaona si vibaya tukaleta hapa jukwaani ili tupate uzoefu wa pamoja na kubadilishana mawazo.
Wote tunajua kuwa urafiki wa dhati ndio msingi mkuu wa mahusiano yoyote imara ya kimapenzi yanayodumu. Lakini...
Wakuu salama,
Kuna changamoto inamkabili ndugu yangu mmoja hapa naomba mniongezee mwanga au kama kuna mtu amewahi kukutana nayo atupe uzoefu wake.
Huyu ndugu yangu wakati anaajiriwa na kusajiliwa NSSF, alitumia Paspoti ya Kusafiria (Passport) kama kitambulisho chake rasmi na akasajiliwa bila...
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi.
Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa kugawiwa idara mbalimbali za kushughulikia masuala ya manunuzi, baadhi ya zabuni zinazohusu idara hizo...
Anonymous
Thread
afya
kazi
kugawa
mkubwa
mkurugenzi
sana
ugavi
ununuzi
unyanyasaji
wake
watumishi
wizara
wizara ya afya
zake
Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani
Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi tena kiongozi no 2 wa nchi
Kama alitaka kuzungumzia katiba mpya ilitakiwa awambie wananchi wao kama...
Kuna wakati taifa linapofika mahali ambapo siasa inakuwa si tena suala la uwezo, uadilifu na historia ya mtu, bali ni suala la nani yuko karibu na nani na nani anaweza kupewa nafasi gani. Kinachotokea sasa kinapaswa kutufanye tujiulize: Je, tunapima viongozi wetu kwa viwango gani?
Kwa wale...
Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka.
Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni.
Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa.
Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya .
Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga .
Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!.
Hili liwakae kichwani !!.
Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu.
Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.