zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    GE2025 JWTZ mpelekeni haraka Oman kwa Wajomba zake na Itisheni baraza la Uongozi la Kitaifa

    Wananchi tumeshachukua nchi yetu. Tunawaomba sana makamanda wetu tunaowapenda sana. Taasisi pekee tunayoiamini wananchi. Tuondoleeni huyo mama mpandisheni ndege aende kwa wajomba zake Oman. Itisheni haraka baraza la Uongozi la Kitaifa chini ya Jeshi tuanze kuijenga upya nchi yetu.
  2. D

    GE2025 Baada ya Mkutano wa Mwanza leo, Samia atakimbilia zake Kizimkazi kujificha

    Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue Atakaa...
  3. baz kaiza

    Police mnajidhalilisha kuhangaika na Kibinti kinacheza zake TikTok mnaenda kumkamata kama Jambazi

    Polisi mnajidhalilisha mnaenda kukamata Kibinti kinacheza zake Tik tok uko mnaenda kumkamata kama jambazi? Kosa la huyo binti ni nini? Kama alikua na kosa mlishindwa kutuma wito ajisalimishe mwenyewe kituo cha police mtu ana offce anajulikana anapatikana wapi ndo mnatumia nguvu kubwa kiasi icho...
  4. D

    Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah. Mwimbaji waa R&B za Kiswahili... Hapa nimeweka parts za cover za nyimbo zake.

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  5. D

    Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah Mwimbaji waa R&B za Kiswahili, nimeweka parts za cover za nyimbo zake

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  6. Chizi Maarifa

    Muhamad alikuwa kwa usiku mmoja anafanya mapenzi na wake zake wote 9

    Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa): Tafsiri: Jamaa alikuwa anatembeza sana kiboko. Na hakuwa na maadili kabisa. Aliwachukulia wanawake kama ni chombo cha starehe tu.
  7. Chizi Maarifa

    Mussa, Daudi, Yesu na Wayahudi wengine wengi wa kwenye Biblia walikuwa Waislamu!

    Ad-Darr” (ٱلضَّارّ) ni moja ya majina 99 ya Allah (Asmaul Husna). 🔹 Maana yake: “Yule Mwenye Kudhuru” au “Mleta Madhara.”
  8. 6By6 Miguno

    Je, Ni changamoto ya afya ya akili?

    Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu.... Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
  9. W

    GE2025 Darugar: Ni kosa kubwa sana mtu kuacha shughuli zake au afunge duka kwa hofu ya mtafaruku Oktoba 29, Tupo vizuri kiusalama

    Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
  10. W

    GE2025 Jamaa kajichokea kaona kama noma na iwe noma, kajiondokea zake na bango la mama

    Kazini kuna kazi! Kijana kaona asepe na bango Ila watanzania kama kuchoka tumechoka! Sijui hili genge la watekaji na wauaji wanaelewa?
  11. sanalii

    Suluhu hana suluhisho, ubabe wake umefikia mwisho, jukwaani anatoa mipasho, hoja zake hazina mashiko.

    Yule fedhuli mwenye roho ya korosho, Mwenye hoja zisizo mashiko, Anadhani katiba ni hadithi za esopo, Kila mara hutoa boko, Kwasasa amekosa soko, Kila kona mi miwasho, Mikali zaidi ya ile ya uamsho, Ataipata ya joto, Kiti kitawaka moto. Wahuni wenye mikoko, Wanaotegemea pisto...
  12. M

    Huyo unaemleta aje kulala kwako, ikitokea hajaamka unayo maelezo ya kutosha kwa ndugu zake pamoja na kulisaidia jeshi la polisi ?

    Hii hoja ni ya kuwekea lamination maana kimasihara unaweza kuishia nyuma ya nondo bila kosa.
  13. Its Tesha

    Busara zake zimetufikisha hapa tulipo

    Ulikuwa mtu mwema kipindi cha uongozi wako, lakini leo watanzania wanakulilia. Umeiuza nchi kwa majambazi.Watanzania wanakufa, wanateswa sababu uliamua hawa wahuni wapewe nchi.
  14. The Father of All

    Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

    Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto. Je alikuwa bado...
  15. Nyani Ngabu

    Dakika zake 15 za umaarufu ndo zimekwisha?

    Ni kapteni Tesha! Huyu nadhani ndo basi tena. Hatutomuona wala kumsikia tena. Keshajipatia umaarufu ndani ya hizo dakika zake 15 alizokuwa nazo na sasa zimeisha. Hivyo, ni ama atapotea mwenyewe kwa hiari yake au atapotezwa, hiyo ni kama bado yupo na hajapotea wala kupotezwa. Alifanya makosa...
  16. britanicca

    DOKEZO Walipanga auawe tarehe 12/10/2025 na waendelee kushikilia account zake za kijamii, Ila account familia imezi-rescue

    Baada ya kumteka wanahangaika kudukua accounts zake za mitandao ya kijamii kwa kutumia device zao kwa kusaidiwa na wachina (tunawajua hao wachina na tutawaripoti wanyongwe na serikali yao na wakiona hii post waache mara moja) wamepanga wakisha hack wamuue wamtupe kwenye tindikali then...
  17. W

    GE2025 Mgombea Ubunge CCM Gairo, Ahmed Shabiby afanya kampeni zake kwa helikopta

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
  18. Carlos The Jackal

    Ukiachilia Mbali Kutisha tisha, JWTZ haliwezi kamwe kugeuza Bunduki zake dhidi ya Raia ! Tujitokeze wengi sana katika Maandamano!!

    Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!. Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa Uchaguzi, Ma Vifaru yao huzagaa zagaa Barabarani ?. Mbinu wanayotumia CCM ni kuzijaza Barabara na...
  19. Damaso

    Offset amtaka Cardi B amuachie 70% ya mali zake: Ndoa yazidi kuchachama

    Tetesi mpya zimeibuka katika ndoa ya mastaa wa muziki, Offset na Cardi B, baada ya Offset kudai kuwa Cardi B amemsaliti na hata kupata ujauzito wa mwanaume mwingine. Tukio hili limezua gumzo kubwa duniani, huku Offset sasa akitaka mali kubwa kutoka kwa mkewe ili, kwa maneno yake, "kuwalinda na...
Back
Top Bottom