zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Imenichukua muda kuelewa kuwa kama mwanamke anakuambia kuhusu matatizo na issues zake wala hahitaji suluhisho bali umsikilize na umpe attention

    Na bado ukiishia kuwa msikivu na ukimpa attention anakuuliza "imekuwaje leo umeniskiliza hivi, kun kitu unanificha" Such unpredictable creatures, mehn.
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ukweli Mchungu wa 'Nongwa' Zake

    WARIOBA NI MTU WA HOVYO SANA... Kuna muda tunajizuia sana kuongea juu ya huyu mzee lakini tunashindwa kabisa kwa kuwa ana mambo ya hovyo sana na amezanza huu uhovyo muda mrefu sana.. Jose yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni makosa na lazima awe na mawazo tofauti na kukosoa na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dua Lipa ashtaki Samsung $15M kwa kutumia picha zake kwenye Maboksi ya TV

    Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye maboksi ya TV huko nchini Marekani bila ridhaa yake. Katika kesi hiyo iliyofunguliwa kwenye...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRGC yaionya Marekani dhidi ya mashambulizi dhidi ya meli zake uvumilivu umefika mwisho. Italipiza kisasi kwa nguvu kubwa.

    Wanaukumbi. TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Paulo alisema kila mtu atabeba mzigo wake (dhambi zake) kama ni hivyo yesu alikuwa kwa dhambi za nani?

    Yesu alituhakikishia dhambi zetu alizifia msalabani je nani mkweli? Karibuni
  6. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji au mtu anayeifahamu Simanjiro DC ya huko Manyara naomba ABC zake

    Wakuu nimehamishwa kikazi na kupelekwa halmashauri ya wilaya ya simanjiro iliyopo mkoani manyara lakini ni sehemu ambayo sijwahi ata kukatiza Je sehemu hiyo ikoje kwa wanaoifahamu Kiuchumi Kiutamaduni Kijamii
  7. E

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki

    Habari, maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki. Ni taa ambazo zimewekwa tangia enzi za Magufuli..
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukishaona utu, logic na reasoning umemzidi haina haja kuendelea kubishana naye tofauti na hapo unapambana uige fikra tasa zake au unakaribia kuwa yeye

    Mnawafahamu humu waimba pambio wa upande ule kama wanahaga haga kama kuku aliekatwa kichwa. Wamejawa matusi maana hawana facts. Wamejawa maandishi ya kutunga maana itikadi zao na waliowatuma wenyewe ni wa kutunga. Mnawajua wako radhi kuchagua dini dhidi ya uhai wa watu. Watasapoti chochote...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Salaam, Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran. Kama alitoa ndege...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kama ndiyo Ujaji ndio huu, Mwanga amewaonea wangapi katika hukumu zake?

    Kama alidiriki kuwafanyia Chadema hivi, wanyonge kwake watapata haki kweli? Amewaumiza wengi!
  11. Ileje

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

    Pia soma:Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi
  12. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kina faida na hasara zake. Je, kuna faida gani za kuwa masikini?

    Kama kila kitu kina faida na hasara zake je, kuna faida gani za kuwa maskini?
  13. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja aibiwa nyeti zake mchana kweupe, huko kahama.

    Mwanaume mmoja mkazi wa kahama ame ibiwa sehemu zake za siri huko kahama. Wazee hiki sio kitisho au utani mambo yamesha kuwa mabaya, aisee tutaisha aisee.
  14. L

    JamiiForums Tanzania John Heche inatakiwa akamatwe haraka na kuwekwa ndani bila kupewa dhamana kwa uchochezi na uchonganishi mpaka athibitishe kwa vielelezo kauli zake

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazma kama Taifa Tujijengee Heshima ,utaratibu ,nidhamu ,adabu ya maneno na kauli za kuzungumza Hadharani. Siyo mtu anajitokea zake huko anaanza kuropoka ropoka Bila Breki vitu Hovyo hovyo bila ushahidi wala vielelezo vya aina yoyote ile ilimradi tu Ameona kamera...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja

    Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kushindwa vita kulianza kwa meli zake zilizoingia vitani kwa kishindo kupigwa,ikafuatia kudondoshwa kwa ndege ya F 35 na kupigwa Dimona

    Ile meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincolin imekuwa haitajwi muda mrefu japo Marekani imekanusha kuzamishwa kwake. Kwa meli kubwa kuliko zote ya Gerald Ford wamekubali kuwa moto mkubwa ulizuka na ikabidi kuiondosha kwenye uwanja wa vita siku chache kiwanda cha kusafishia mafuta cha Haifa...
  17. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bandari na fursa zake

    Wakuu naomba anaefahamu anisaidie kufahamu biashara ya bandarini pale inafanyikaje na fursa zake pale ni zipi. Yani nataka kujua zile meli zinamlipa nani na nani au zinalipwa na nani? Dp world au adani yeye anapataje pesa ikiwa achukui kodi? Wale wenye malori yenye kontena wanafanya vipi...
  18. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta ndugu zake, mgonjwa alifikishwa MOI, Machi 01, 2026

  19. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Hapo vip! Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo. Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kafulila ameenda wapi na PPP zake na udadavuzi wa uchumi?

    Ni muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi. Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na taarifa zake za PPP zilijaa kwenye media hadi hapa jukwaani. Kulikoni?
Back
Top Bottom