zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta. Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda...
  2. JamiiForums Tanzania Watu 20 wahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega, leo Oktoba 21, 2023

    Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP. === Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega. Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Wasanii zaidi ya 2000 Uingereza wasaini waraka kuilaani Israel

    Wasanii wa kada zote nchini Uiengereza wanaozidi elfu mbili wamesaini waraka kuonesha kukerwa kwao na ukatili wa Israel kwa wapalestina. Wasanii hao ni pamoja na Tilda Swinton, Steve Coogan, Charles Dance and Maxine Peake.Katika waraka wao huo wamesema wanaitaka Israel isitishe unyama wake mara...
  4. JamiiForums Tanzania Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

    Wanabodi, Mjinga na Mpumba.. Leo naomba kuianza makala ya leo kwa angalizo kuhusu neno mjinga na mpumba. Mtu kuitwa mjinga ni mtu asiyejua, mjinga akiishafundishwa akajua, anaerevuka ujinga unamtoka anakuwa sio mjinga tena bali mwerevu! Mjinga aliyefundishwa na bado akabaki na ujinga wake...
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa watu zaidi ya milioni wameondoka Gaza. Je, palikua na huu ulazima?

    Kuhamisha watu milioni moja sio kazi rahisi kihivyo, ukizingatia wote hawa wanateseka bure na hawakuyataka haya, majengo yao yote yanasambaratishwa na kuwa mashamba na magofu, na wanaenda kuteseka kwenye baridi na mahangaiko mengine, kwa kifupi HAMAS na mashetani mnaowaabudu kisa dini mkae...
  6. JamiiForums Tanzania Nigeria: Baraza la Mawaziri labariki Serikali kukopa zaidi ya Tsh. Trilioni 3 kusaidia Bajeti

    Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa miaka kadhaa. Tangu aigia madarakani, Rais Bola Tinubu amekuwa akibadili sera za Mtangulizi wake...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Zaidi ya Maneno, zaidi ya Hisia. Je, unaushauri gani?

    = Chanzo: MMM (Mtandao X)
  8. JamiiForums Tanzania VPN ndio njia salama zaidi ya kujilinda na Mashambulizi ya Kimtandao

    Kumekuwa na upotoshaji kuwa Matumizi ya Virtual Private Network (VPN) husaidia upatikanaji wa maudhui yasiyofaa pekee Mitandaoni, jambo ambalo halina ukweli kwasababu VPN ni nyenzo muhimu katika kuzuia mashambulio ya Mtandaoni pamoja na Kulinda Taarifa Binafsi za Watumiaji. Kwa mujibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ripoti ADRN: Serikali za Afrika zinatumia zaidi ya Tsh. Trilioni 2.5 kwa mwaka Kufuatilia Watu na Mawasiliano yao

    Ripoti ya African Digital Rights Network (ADRN) inayohusu Nchi zinazotumia Teknolojia ya Ufuatiliaji wa Watu Barani Afrika, imeitaja Serikali ya Nigeria kuongoza katika matumizi ya Fedha zaidi (Zaidi ya Tsh. Trilioni 6.77 ndani ya miaka 10) katika uwekaji wa Mifumo hiyo. Mifumo inahusisha...
  10. JamiiForums Tanzania Race and Intelligence: Je, Whites Wana akili zaidi ya Blacks?

    Naamini wote ni wazima wa afya, ila kama kuna mtu yeyote mwenye changamoto basi Mwenyezi Mungu/Allah amfanyie wepesi. Nimekuwa mdau wa Jamii Intelligence kwa muda sasa, Na hakika ukiwa serious na hili jukwaa utatoka na elimu (madini) sana, kuanzia maarifa ya kiroho hadi yale ya kimwili...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

    Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza! Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
  12. JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa SGR athibitisha kuishiwa Fedha, anahitaji zaidi ya Tsh. Trilioni 4.5

    Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha mji wa Dodoma kutafuta ufadhili wa mradi huo kote Ulaya. Makamu Mwenyekiti wa Yapi Merkezi, Erdem Arioglu, ambaye...
  13. JamiiForums Tanzania Kamishina Kafulila: Biashara kati ya Tanzania na India ni zaidi ya Dola Bilioni 24 ndani ya miaka 10

    KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership-PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila, amesema hadi kufikia 2027 India itakuwa Nchi ya tatu kwa ukubwa wa Uchumi Duniani. India wana Miradi ya PPP 998 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

    Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO. Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI. Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi. Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
  15. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

    Habari wana JF. Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15. Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto, Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake. Mume alijua kwa mawasiliano ya simu Mama alipokuwa anaongea na mwanae. Na mtoto ana umri wa miaka 20. Mume wa ndoa kazaa naye...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda

    Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda. MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwa na series kali ya kivita zaidi ya Band of brothers

    The series dramatizes the history of "Easy" Company, 2nd Battalion, 506th Parachute Infantry Regiment of the 101st Airborne Division, from jump training in the United States through its participation in major actions in Europe, up until Japan's capitulation and the end of World War II.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

    Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33. Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema kuwa na miaka 35. Na hii inaleta mantiki ya kwamba alipokuwa anashiriki Miss Tanzania 2006 alikuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania KATAVI: Walimu Zaidi ya 200 Waandamana ofisi za CCM kudai Haki yao ya kupandishwa madaraja

    Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Website ya UTT haipo hewani na nimeweka zaidi ya milioni 100 nimepanic. Vipi hatujapigwa huko?

    Mimi naishi ughaibuni (Diaspora) ila nimekuwa mwekezaji mzuri kupitia taasisi ya uwekezaji inaitwa UTT ipo hapo kwetu bongo na nimejiunga na mfumo wa kupokea gawio la faida kila mwezi uitwao BOND fund na sasa nimeshaweka zaidi ya milini 100 sasa mpaka muda huu nataka kwenda kulala akili inagoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…