Mlevi hawezi kukusaidia zaidi ya kukununulia pombe

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
914
1,704
Unampigia kuwa una shida fulani, anakwambia njoo sehemu fulani, ukifika anakwambia agiza bia,
kunywa tani yako usahau shida zako,

Lakini kukupa pesa mkononi ni mwiko, sijui kwanini walaevi huwa hawapendi kutoa pesa taslimu, pombe utakunywa ya kutosha lakini wakati mwingi hata chakula tu hawezi kukununulia,

Mwenye kujua sababu hasa inayosababisha mlevi asitoe hela yake kumsaidia mtu anaweza kutujuza.
 
Kwani pombe sio msaada?
 
Muuza uji hua anakupa Hela?
Kanisani ukiwa na shida huwa unapata Hela?
Muuza juice alikupa sh ngp ulipoishiwa Kodi?
Tatizo anahusisha ulevi na uzembe .walevi huwa wanapenda kunywa na kampani ww ukijileta na shida zako hayupo kuzitatua anafirahia kampan .ndo maana mm nkilewa na nina mil 1 nimepiga mchana naweza wapa baa nzima bia 2 wahudumu bill ikawa 30k .hii haimaanishi ndugu zangu wote wana hata 5000 mfukoni .ni kwamba kazi kuu ya pesa yangu ni kunifurahisha mm sio kutatua shida zako ..
 
Mkuu! Ebu nenda kwa mangi uchukue juice ya embe!
🙏🙏
Walevi kila baya ni sisi tu! Wanatuongezea Kodi hatulalamiki ila wengine nauli ikiongezwa sh 50 hadi mabubu wanaongea!

Ukiwa huna hela tutakusitiri siku hyo na tutahakikisha unafika kwako na kuzingatia umefunga mlango na siku ya pili tutakujulia hali!

Tukiwa bar tunapiga vinywaji expensive tunapeana deal za maaana hatuna mda wa kumsema mtu lkn wao wakiwa kanisani/ msikitini wanatunanga
 
Hao n walevi wenye Hela ya kunywa tu c yakusaidiaa Kwa wakati huo ww unamweleza shida Yako Kwa kushtukiza unaitaji laki mbili akiangalia mfukon ana elfu 70 anaona haiwezi kukutosha kutatua shida zako ,hvyo anakuita akupooze Kwanza akili Ili ujue shida zipo tu na kudaiwa Kodi km ujajenga n swala halikwepeki ,hvyo anakununulia kwanza pombe akili ikianza kuchangamka utakosa mtu mwingine wakumpanga akusaidiee hyo laki mbili na Kwa vile utakuwa ushaanza lewa utapata ujasiri Hadi wakumpigia usiyekuwa unamtegemea kumpigia na ukampiga sound za kitungi Tungi na akakuelewa na laki mbili ukapataa .

Kwan haijawah kukuta kitu km hyo mkuu....
 
Tatizo anahusisha ulevi na uzembe .walevi huwa wanapenda kunywa na kampani ww ukijileta na shida zako hayupo kuzitatua anafirahia kampan .ndo maana mm nkilewa na nina mil 1 nimepiga mchana naweza wapa baa nzima bia 2 wahudumu bill ikawa 30k .hii haimaanishi ndugu zangu wote wana hata 5000 mfukoni .ni kwamba kazi kuu ya pesa yangu ni kunifurahisha mm sio kutatua shida zako ..
jasho unatoa ww na unatakiwa ulifaidi ww c vinginevyo .
 
FB_IMG_17013335858488581.jpg
 
Tatizo anahusisha ulevi na uzembe .walevi huwa wanapenda kunywa na kampani ww ukijileta na shida zako hayupo kuzitatua anafirahia kampan .ndo maana mm nkilewa na nina mil 1 nimepiga mchana naweza wapa baa nzima bia 2 wahudumu bill ikawa 30k .hii haimaanishi ndugu zangu wote wana hata 5000 mfukoni .ni kwamba kazi kuu ya pesa yangu ni kunifurahisha mm sio kutatua shida zako ..
Tatizo mtu akikuona unapiga tuvitu vitu anahis hela zako hazina kazi ko anahis akija tu anajitoe dollar
 
Back
Top Bottom