zahanati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Kwikerege Chaamua Kujenga Zahanati Yake - Musoma Vijijini

    KIJIJI CHA KWIKEREGE CHAAMUA KUJENGA ZAHANATI YAKE Kijiji cha Kwikerege ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Musanja. Kijiji hiki hakina zahanati, kwa hiyo wakazi wake wanapohitaji Huduma za Afya wanalazimika kutembea umbali usiopungua kilomita tano (5) kwenda kwenye Zahanati ya Kijiji...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hospitali na zahanati huwa zinawanyima majibu ya vipimo wagonjwa wanaoshindwa kununua dawa kwao

    Serikali kupitia Wizara ya Afya na TAMISEMI komesheni hii tabia kwenye baadhi ya hospitali na zahanati zinazowanyima majibu wale wagonjwa wanaofika kupima katika hospitali zao! Wagonjwa hulipia gharama za vipimo kama kawaida, lakini inapofika hatua ya kupatiwa majibu nakala huwa hawapewi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Ludewa azindua Kituo cha Afya na Zahanati

    DC LUDEWA AZINDUA KITUO CHA AFYA NA ZAHANATI Na. Damian Kunambi, Njombe. Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amezindua kituo cha afya Mundindi kilichogharimu kiasi cha zaidi ya sh. Mil. 500 ambapo uzinduzi wa kituo hicho uliambatana na mapokezi ya vifaa tiba vvyenye thamani ya sh. Mil...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Igunga: Tunaishukuru Serikali kwa vifaa tiba na madawa kwenye zahanati za vijijini

    "... Toka nimeanza ziara vijijini kwenye kila Zahanati Ninayopita kuangalia mwenendo wa utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi, Nimekuta kuna akiba ya madawa na vifaa tiba vya kuweza kutumia miezi Mitatu mpaka Sita..." "... Tunaishukuru Serikali yetu kwa uwekezaji mkubwa kwenye Sekta ya Afya...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki achangia Milioni 5 ujenzi zahanati ya Kajeje Kata ya Kanoge, Katavi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 24 Julai, 2023 amefanya ziara katika Kata ya Kanoge Mkoa wa Katavi na kukabidhi Shilingi Milioni tano (5,000,000) kwaajili ya kuchangia Ujenzi wa Zahanati Jengo la Mama na Mtoto katika Kijiji cha Kajeje Kata ya Kanoge. Aidha...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Gulamali Atoa Mifuko 700 ya Simenti Ujenzi wa Shule na Zahanati

    MBUNGE GULAMALI ATOA MIFUKO 700 YA SIMENTI UJENZI WA SHULE NA ZAHANATI JIMBO LA MANONGA Mbunge wa Jimbo Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameendelea na ziara yake katika Vijiji vya Kata ya Uswaya na kutoa Mifuko 700 ya Simenti kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Shule za Msingi na...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kainja Ahoji Zahanati Kufunguliwa Bila Vifaa Tiba Mkoa wa Tabora

    MHE. JACQUELINE KAINJA AHOJI ZAHANATI KUFUNGULIWA BILA VIFAA TIBA MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza maswali Wizara ya TAMISEMI yaliyojibiwa na Naibu Waziri TAMISEMI. "Je, Serikali ina mpango...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Hayati Magufuli hela anazotumia Tundu Lissu kuzurura zingetumika kujenga zahanati nchi nzima

    Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga. Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie hili la Zahanati ya Kongowe Kibaha kuwadai wajawazito Sh 20,000 kwa lazima

    Kuna Zahanati ya Serikali ipo Kibaha Kongowe inaitwa Zahanati ya Kongowe ipo karibu na Shule ya Msingi Kongowe, mama mjamzito akienda kuanza kliniki anaombwa Shilingi 20,000 kwa lazima, kiasi ambacho hakipo kwenye mahesabu yoyote ya huduma. Ikitokea aliyeombwa hana au amekataa kutoa...
  10. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Wimbo wa Zahanati ya kijiji by Mike Song

    Dondosha Comment yako kuhusiana na hili goma
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Milioni 16 Zachangia Ujenzi wa Zahanati 13 Bahi, Dodoma

    MILIONI 16 ZACHANGIA UJENZI WA ZAHANATI 13 JIMBO LA BAHI, DODOMA Mbunge wa Jimbo la Bahi Mhe. Kenneth Nollo tarehe 03 Mei, 2023 alifika Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe kwa lengo la kutembelea ujenzi unaoendelea wa Zahanati ya Mapinduzi ambayo ni miongoni mwa zahanati ya 13. Zahanati zote 12...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi atimiza ahadi ya kuchangia saruji ujenzi wa zahanati na shule ili kumuunga mkono Rais Samia

    MBUNGE SAMIZI ATIMIZA AHADI YA KUCHANGIA SARUJI UJENZI WA ZAHANATI NA SHULE ILI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA. Dkt. Florence George Samizi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Jana Jumamosi Aprili 29, 2023 ametimiza ahadi yake ya kuchangia shughuli za maendeleo kwa kuchangia mifuko...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dc. Haniu azindua zahanati ya Isyonje wilayani Rungwe

    Kuelekea kilele cha kumbukumbu ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo jumatano tarehe 26.04.2023, Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua rasmi zahanati ya Isyonje iliyopo kata ya Isongole. Pamoja na uzinduzi wa zahanati hiyo pia ameongoza wakazi wa kijiji hicho...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Chama cha wauguzi Tanzania (TANNA) na sakata la tamthilia ya Zahanati ya Kijiji. Ukimya wa Bodi ya Filamu unatoa mwanya wa unyanyasaji

    Chama cha Wauguzi TANNA wametoa waraka unaoelezea sakata lao na waandaaji wa thamthilia ya Zahanati ya Kijiji onayorushwa na kituo cha Azam TV. Wadau mbalimbali wa sanaa wameonesha kuchukizwa na mwenendo wa chama hiko cha wauguzo kuongilia taaluma ya sanaa hususani kuonesha dalili ya...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa

    Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini Rais Samia akajibu “Hilo...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU waagizwa kuchunguza jengo la zahanati lililotumia Tsh. Milioni 75 na halina milango wala madirisha

    Mwonekano wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Mtakuja iliyopo Wilaya ya Ruangwa ambayo imeshatumia Tsh. Milioni 75 hadi sasa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU wilayani Ruangwa kufanya uchunguzi wa...
  17. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Eleza vimbwanga ulivyowahi kukutana navyo hospitali, vituo vya afya na zahanati

    - Katika hospitali ya rufaa kabisa, madaktari waliokuwa zamu walikuwa wanasoma dalili za ugonjwa kwenye internet na YouTube, nilichoka sana lakini kwa bahati mgonjwa wetu alipona tulipewa daktari ambaye alikuwa ni professional zaidi. Lakini yule mgonjwa waliyekuwa wanamsomea sidhani kama...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kivu, DRC: Wagonjwa wachomwa moto hadi kufa wakiwa Zahanati

    Umoja wa Mataifa umesema watu 20 wameuawa na makumi ya wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yanayoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC) wakiwemo wagonjwa 4 walioteketezwa wakiwa hai katika zahanati ya kanisa katika jimbo la Kivu Kaskazini Hadi hivi sasa Wapiganaji wa...
  19. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu taratibu na sheria za kuanzisha zahanati

    Habari zenu wana Jamiiforus, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninaomba kujua taratibu za kuanzisha zahanati, kwa vipengele vifuatavyo:- (i) Ujenzi wa jengo-Ninamiliki kiwanja chenye vipimo vifuatavyo 30m x 24m. (ii)Gharama za Vifaa husika kwa ajili ya kuanza kazi. (iii)Gharama za usajili wa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zahanati yahifadhi vitanda stoo, wajawazito wakijifungulia sakafuni

    Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Paul Chacha ameupa siku tatu uongozi wa halmashauri ya wilaya hiyo kupitia idara ya afya kuhakikisha inafunga vitanda vya akinamama wajawazito kwenye Zahanati ya Kijiji cha Usangi ambayo wajawazito wamekuwa wakilazwa sakafuni kabla na baada ya kujifungua. Akiwa...
Back
Top Bottom