Kivu, DRC: Wagonjwa wachomwa moto hadi kufa wakiwa Zahanati

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Umoja wa Mataifa umesema watu 20 wameuawa na makumi ya wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yanayoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC) wakiwemo wagonjwa 4 walioteketezwa wakiwa hai katika zahanati ya kanisa katika jimbo la Kivu Kaskazini

Hadi hivi sasa Wapiganaji wa kundi linaloshirikiana na Islamic State Allied Democratic Forces (ADF) wanashukiwa na kulaumiwa kwa mashambulizi hayo

Aidha, Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mwezi uliopita walikubaliana kutuma Kikosi cha Kikanda kusaidia Serikali ya Congo kukabiliana na waasi Mashariki wa nchi hiyo

...........................................................................

The UN says 20 people have been killed and dozens more abducted in multiple attacks in eastern Democratic Republic of Congo.

The dead include children and at least four patients who were burnt alive at a church clinic in North Kivu province.

The attack is blamed on fighters from the Islamic State-affiliated group Allied Democratic Forces (ADF).

It is known as the deadliest armed group operating in the country and has been designated as a terrorist outfit by the US.

Witnesses say intense fighting is still ongoing in the volatile North Kivu province where the Congolese army and UN peacekeepers are engaging fighters from the group.

The rebel attacks began last Thursday when the armed group attacked a local clinic in Lume town - where they killed several people including the four patients who were burnt alive in the health facility.

The UN mission in DR Congo says hundreds of houses in nearby villages have also been razed down.

Dozens of people including at least 30 children are reported missing and are believed to have been abducted by the group.

Peacekeepers have also exchanged fire with the fighters in Ituri province.

Mineral-rich DR Congo has witnessed a recent resurgence in conflict involving several armed groups including the M23 movement and the ADF.

The East African Community leaders last month agreed to send a regional force to help the Congolese government counter the violence in the east.

Source: BBC
 
Dah mbona wanawapiga mtungo wazee wa Ndombolo ya Solo sasa!!???,huku M23 huku hao ADF..Halfu inaonekana M23 kidogo wana huruma kwa raia kuliko hawa ADF serikali ya Congo inabidi iwe serious kwa hili,le congo rdc doit être sérieux dans ce dossier afin que plus aucun civil ne perde la vie😪
 
M23 is a conventional rebel group and ADF is an insurgence extremist terror group...

Kupambana na makundi haya yanahitaji mbinu tofauti.
T14 Armata mtu chake wa kupuliza
Hayo makundi yanapigwa na intelijensia zaidi kuliko jeshi. Huwa naamini sana kwenye intelligence kuliko kufyatua risasi.

Miaka ya mwisho ya 1990s kuna mwanasayansi mmoja injinia wa kati ya Hezbollah au Hamas alikuwa anatengeneza milipuko fulani inawasumbua Waisraeli. Waisraeli waliteka familia ya mtu wake wa karibu, wakamwambia huyo mtu awasaidie na watampa hela.

Wakataka atazame yule injinia anatumia simu aina gani, walipojua wakatafuta simu kama ile na rangi ileile wakabadilisha mfumo na kuweka satellite positioning. Yule mtu wake wa karibu akabeba simu na kumbadilishia injinia kisha akapigiwa, alipopokea ikalipuka.

Hata USSR kuna mwaka waliwahi teka wanafamilia wa magaidi walioteka Warusi. Wakatishia mkiua na sisi tunaua, sasa gaidi anapenda sana wanae na wazazi ila yeye akifa hamna shida. Wakaachia.

Hayo makundi ni kutafuta mbinu za kuzuia recruitment na kuua makamanda wao wanaowapa jeuri. Very easy ila basi tu wenye nafasi hawana uwezo. Nigeria Rais ni retired military General ila ni mpuuzi sana kwenye mambo ya ulinzi
 
Dah mbona wanawapiga mtungo wazee wa Ndombolo ya Solo sasa!!???,huku M23 huku hao ADF..Halfu inaonekana M23 kidogo wana huruma kwa raia kuliko hawa ADF serikali ya Congo inabidi iwe serious kwa hili,le congo rdc doit être sérieux dans ce dossier afin que plus aucun civil ne perde la vie😪
M23 hawaui raia mzee! ni wapiagania haki,mabadiliko ndio maana serikali ya congo hayo makundi 193 yaliyobaki hawana mda nao hata wakiua kijiji chote.
 
nous prions pour qu'il en soit ainsi, Amen!
 
M23 hawaui raia mzee! ni wapiagania haki,mabadiliko ndio maana serikali ya congo hayo makundi 193 yaliyobaki hawana mda nao hata wakiua kijiji chote.
Siasa tuu mimi naamini hakuna mtutsi ako na nia njema mukongo yetu
 
Umoja wa Mataifa umesema watu 20 wameuawa na makumi ya wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yanayoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC) wakiwemo wagonjwa 4 walioteketezwa wakiwa hai katika zahanati ya kanisa katika jimbo la Kivu Kaskazini

Hadi hivi sasa Wapiganaji wa kundi linaloshirikiana na Islamic State Allied Democratic Forces (ADF) wanashukiwa na kulaumiwa kwa mashambulizi hayo

Aidha, Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mwezi uliopita walikubaliana kutuma Kikosi cha Kikanda kusaidia Serikali ya Congo kukabiliana na waasi Mashariki wa nchi hiyo

...........................................................................

The UN says 20 people have been killed and dozens more abducted in multiple attacks in eastern Democratic Republic of Congo.

The dead include children and at least four patients who were burnt alive at a church clinic in North Kivu province.

The attack is blamed on fighters from the Islamic State-affiliated group Allied Democratic Forces (ADF).

It is known as the deadliest armed group operating in the country and has been designated as a terrorist outfit by the US.

Witnesses say intense fighting is still ongoing in the volatile North Kivu province where the Congolese army and UN peacekeepers are engaging fighters from the group.

The rebel attacks began last Thursday when the armed group attacked a local clinic in Lume town - where they killed several people including the four patients who were burnt alive in the health facility.

The UN mission in DR Congo says hundreds of houses in nearby villages have also been razed down.

Dozens of people including at least 30 children are reported missing and are believed to have been abducted by the group.

Peacekeepers have also exchanged fire with the fighters in Ituri province.

Mineral-rich DR Congo has witnessed a recent resurgence in conflict involving several armed groups including the M23 movement and the ADF.

The East African Community leaders last month agreed to send a regional force to help the Congolese government counter the violence in the east.

Source: BBC
Nilivoona dini imehusishwa tu nikajua hii ni War against islam

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom