yuko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

    Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana. Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  3. aise

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti msaatafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe Yuko wapi?

    Mwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi? Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini? Carlos The Jackal
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Askofu Zachary Kakobe yuko wapi?

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) jijini Dar es Salaam, Bishop Zachary Kakobe ni miongoni wa watu wenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, kutokana na huduma zake za kiroho kama Mtumishi wa neno la Mungu. Lakini si hivyo tu, Bishop Kakobe ni mmoja wa watu wenye...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Huyu member yuko wapi? JohnTheBaptist

    Simuoni hapa JF Yulo wapi?
  6. Sitakuumiza Kamwe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yuko Wapi Stephen Wassira - Think Tank na Strategist Mkuu wa CCM?

    Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi. Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za usalama zituambie yuko wapi Titho Philemon? Wiki inakatika sasa haijulikani alipo

    Sasa inaelekea Siku ya saba tangu zimesambaa taarifa kuwa ametekwa/amekamatwa Kijana Titho Philemon Dyakiye, Mzaliwa wa Wilaya ya Ngara. Mpaka sasa haijajulikana ana kosa gani kwani hajafikishwa mbele ya chombo chochote cha sheria na pia wana Ngara hawakuwahi kusikia uhalifu ama kosa lake...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi January Makamba?

    Huyu jamaa toka jina lake likatwe huko CCM sijamsikia tena. Hata kutoa pole kwa waliokufa kwenye maandamano hajatoa. Hivi yupo kweli?
  9. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi bibie Faiza Foxy

    Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu... Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja Kwa anayejua alipo Bibi yenu Gen Z na Mama au Dada wa wengine humu anijuze kwani katika mawasiliano yake hapatikani ati
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yuko wapi mwamba Samia kwa sasa?

    Kuna machawa nataka kujua walipo wanafanya nini au wamefanywa au watafanywa nini. Na kwanini hawajatembelewa na kutembezewa kichapo? Ni wafuatao: Samuya Sululu Hassami Njaa Kaya Kiwete Abduli toto la mama Wanu Moody Mchengererwa Rizone Kiwete Salma Kiwete Daudi Albert Bashiti Albert Chalamila...
  11. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz yuko wapi? CCM mlisema ni mtanzania halisi

    CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu. Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha. Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura. Tunachezewa sana! Eti...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla yuko wapi?

    Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea? Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Mchungaji Peter Msigwa yuko wapi?

    Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii! Yuko wapi?
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Josephat Gwajima?

    Kimepita kipindi kirefu hatujamsikia mchungaji Josephat Gwajima na hii si kawaida yake. Kwa ukimya huu mkubwa bila shaka jamaa huenda walimbananisha haswa hivyo huenda hali yake ki afya si nzuri na bila shaka hayupo Tanzania. Kwa Gwajima tunayemjua mtu asiyekubali kushindwa kiwepesi wepesi kwa...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Primi Mushi a.k.a Kuringe mvamizi wa viwanja

    Primi Mushi au Edward Mushi anajulikana vilevile kama Kuringe. Ni mkazi wa Mbezi Makonde na mmiliki wa Kuringe Social Hall na Hall Red zote zipo Mbezi Makonde. Ni maarufu kwa kununua maeneo yenye migogoro, maeneo ya yatima nk. Yadaiwa ni muda sasa hajaonekana Dar es Salaam baada ya timbwili la...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mstaafu kikwete?

    Huyu baba sio kawaida yake. Haiwezi kupita week hujamsikia kwenye chombo cha habari ,ila nashangaa kawa kimya hata kwenye kampeni za wanafamilia wake haonekani mara kwa mara. Yuko wapi huyu baba?
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule kibaka aliyetumwa na mayahudi kufanya kazi iliyowashinda?

    Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina. Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma, Kwa kumbukumbu zangu...
  18. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Siku kumi zimepita, Yuko wapi Gwajima jasusi la mbinguni?

    Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa. Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Sunda, tajiri wa madini pale Mererani yuko wapi siku hizi?

    Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo Mererani. Miaka imepita, sijamsikia. Yuki wapi siku hizi? Je, bado ana kibunda kama zamani? RIP...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Dr Mpango ?

    Jana sijaona akitambulishwa bungeni Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ? Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi? Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine? Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?
Back
Top Bottom