Nini Kimemkuta ndugu yangu Paskali Mayalla a.k.a Mr. NJAA?

1000193342.jpg
1000193344.jpg
 
Takribani sasa ni kama wiki nzima sijaona Post ta Mh. MR. Njaa. Nini kimemkuta Portia wangu jamani? Hii hotuba ya jana asingeacha kuandika chochote! Je, amejitathimini na kuona uchawa haulipi? Au Gen-Z wamemtisha?
Anahofia nyumba yake kuchomwa moto ( kama mimi ninavyohofia nyumba yangu kuchomwa moto).
Labda tumuombe Rais Samia ajiuzulu nyumba zetu ziokoke?
Kuhusu hiki swala THE JURY IS OUT.
Ima Rais atajiuzulu very soon, or She will weather the storm na kumalizia miaka mitano.
THE JURY IS OUT.
United Nations,EU,ICC,HUMAN RIGHTS WATCH,na wengine,they are just watching. So far, they are not doing anything.
Lakini naona ingekuwa very convenient kama Rais angeshinikizwa kujiuzulu, because the hooligans who are burning the country are all saying,"SAMIA MUST GO "
Wapo watu wengi pale lakini hawa hooligans wanamuona Samia tu ndio mbaya wao,ndiye aliwakosea.
Hili swala limekwisha kwa kweli.
When the guns fell silent,the problem was over.
Unless kama watu wataanzisha tena fujo.
Unachohitaji hapa ni some kind of compensation kwa wale wale waliodhurika,na kuunda" Serikali ya Kitaifa",yaani serikali itakayokuwa na sprinkling ya Wapinzani. Kuwashirikisha Wapinzani ( not necessarily kuwapa uwaziri).
Otherwise,fujo zikiendelea there will be opportunists wanting to fish in troubled waters. Let us go and steal something before it is stolen by someone else.
Watu waache fujo. Wale Rothschild family ambao wana- control Benki Kuu zote za Dunia,pamoja na Benki Kuu ya Tanzania,wale watu unadhani wana Dini gani? What do they worship,tuambie kama unajua.
Lazima tuwe na akili ya Economics,tusiwe watu wa kuchoma moto magari ya Public Transport na kushangilia .
Lakini ndiyo watu wanavyosema,kwanza Rais Samia ajiuzulu, and then we can start talking, beginning tomorrow.
 
Hao tunaowaita hooligans wako sahihi kabisa na kile wanachokidai. Kosa lao tu ni kule kuunguza miundombinu ya serikali, wanasahau kwamba hizo ni kodi zetu! Waelekeze hasira zao kwa mafisadi na kushinikiza Samuya ajiuzulu. Vingine wanavyovifanya wako sahihi maana ccm kuachia madaraka kwa haki imegoma!
 
Takribani sasa ni kama wiki nzima sijaona Post ta Mh. MR. Njaa. Nini kimemkuta Portia wangu jamani? Hii hotuba ya jana asingeacha kuandika chochote! Je, amejitathimini na kuona uchawa haulipi? Au Gen-Z wamemtisha?
Yupo anaandaa makala...
 
Takribani sasa ni kama wiki nzima sijaona Post ta Mh. MR. Njaa. Nini kimemkuta Portia wangu jamani? Hii hotuba ya jana asingeacha kuandika chochote! Je, amejitathimini na kuona uchawa haulipi? Au Gen-Z wamemtisha?
P popote ulipo fanya kama unanyoosha mkono tukuone tafadhali tumezikosa mada zako kwa maslahi ya taifa hasa wakati huu wa kovidi ya pili ikiyo kosa barakoa.Kwanini tunakutafuta P,hatutaki ifike mahali tuanze kutafuta kile kiatu chako na lile koti lako ulilolipenda zaidi ili tufanye kumbukumbu yako ya mwisho,hivyo pindi ukiuona ujumbe huu toa neno tafadhali.
 
Back
Top Bottom