maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 709
- 1,523
Wakati nakua chumbani kwa baba yangu kulikuwa na mkuki,upinde na mishale yake pamoja na jambia,yale ambayo yanakaa kwenye ala yake,
Inamaana baba alikuwa mzoefu alifundishwa kutumia silaha na baba yake,mimi leo mtu mzima sijui hata kutumia kisu kujilinda maana yake baba yangu hakunifundisha
Leo hii nione mwanafamilia anatekwa nabaki tu kukodoa macho sababu sina uwezo wa kujilinda
Huku tunakoelekea tunaitaji tupate mafunzo ya silaha za jadi kwa ajili ya kujilinda maana serikali imeshindwa kutulinda