Natafuta kazi, elimu yangu ni form six

Natafuta kazi, elimu yangu ni form six

ShangyJ

New Member
Joined
Apr 18, 2022
Posts
2
Reaction score
2
Habari zenu Wana JF natafuta kazi ya kuuza duka, usafi maofisini au viwandani

Elimu: kidato Cha sita
Jinsa: Mwanamke
Umri; 25
Mahali: Mwanza
 
Habari zenu Wana JF natafuta kazi ya kuuza duka, usafi maofisini au viwandani

Elimu: kidato Cha sita
Jinsa: Mwanamke
Umri; 25
Mahali: Mwanza
Mwanza kabisa. Karibu sana machinjioni unaweza pata kibarua cha kuuza nyama.

kina mama wenzio wamejiajiri sana hapa kwa mtaji wa 50,000
IMG_20220417_084736_925.jpg
 
Elimu ya bongo hovyo kweli

Yaan mtu akimaliza form six hanaga anachokijua zaid ya kuandika essay etc
 
Elimu ya bongo hovyo kweli

Yaan mtu akimaliza form six hanaga anachokijua zaid ya kuandika essay etc
kwa kwel n matatizo enzi za nyerere kila level ya elimu ulikua ukimalza upo competent japo kuajirika lakn elim ya ck iz matatzoo kwel tunaishiaa kujua kuandika essay,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji18][emoji18][emoji24]
 
kama unajua kutumia laptop na unaelewa kiingereza vizuri na uko tayari kufanya kaz sometimes 12 hrs to 13 hrs a day njoo PM. Salary nzuri tu
 
Mwanza kabisa. Karibu sana machinjioni unaweza pata kibarua cha kuuza nyama.

kina mama wenzio wamejiajiri sana hapa kwa mtaji wa 50,000
View attachment 2191517
Kijiji chetu hakina butchery nyama tunanunua kijiji cha jirani lakini ingekua nyama nakuta imewekwa chini kama hivyo nisingenunua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom