yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka), Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu...
  2. JamiiForums Tanzania Magufuli alivyosababisha ndoa ya rafiki yangu kuyumba

    Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini. Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu akamsikiliza Miaka nane ya ndoa wana watoto watano maisha magumu ,jamaa anataka kukimbia familia
  3. JamiiForums Tanzania Mlitaka kumuacha Sako, kwa maoni yangu hata kumuacha Duncan Nyoni mmekurupuka

    Zilitoka taarifa kuwa kuna hatihati ya kumuacha Papi Sako na wengine kadhaa, hatimaye tukaona ameachwa Duncan Nyoni. Sioni kama Uongozi na benchi la ufundi Simba wamefanya uamuzi mzuri. Kwa muda mfupi aliopata nafasi Nyoni nimeona ameonesha kitu ambacho alihitaji muda zaidi wa kuonesha kile...
  4. JamiiForums Tanzania Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu kauli ya Rais kwa Vijana Na Mustakabali wa Ajira na Kujiajiri ujumbe huu uende pia kwa watunga sera.

    Salaam! Kwa Wote. Awali ya yote tuzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufika 2022 salama, tukiwa tunauanza mwaka tunaendelea kutafakari na kuweka malengo ya kupiga hatua kiuchumi. Vijana wa kitanzania bado wameendelea kukumbwa na changamoto kubwa kwenye sekta ya ajira takwimu...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kunitengenezea App ya android kwaajili ya blog yangu

    kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
  7. JamiiForums Tanzania Nimepoteza dongle ya mouse yangu wakuu, nifanyeje!!

    Nimepoteza antenna (dongle) ya wireless mouse yangu. Bila hii dongle, siwezi kutumia mouse wala external keyboard yangu... Kazi hazifanyiki kabisa, maana internal keyboard ya laptop baadhi ya button zinazingua. Naweza nikapata replacement yake kweli? Ama 2.4 GHz frequency bands...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

    Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo KIUFUPI Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni...
  10. JamiiForums Tanzania Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu

    Wakuu heri ya mwaka mpya, naamini mmeanza mwaka mpya kwa utulivu kabisa, maake najua stress za karo tushaachana nazo tangu 2021 Dec. Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu ( demu wa rafiki yangu) bila kudhamilia, ilikuwa hivi shemeji alinipigia simu jana kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

    Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu. Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje. Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha? Maana najisikia...
  12. JamiiForums Tanzania Boxer yangu katika chumba cha mpangaji mwenzangu

    Habari wana JF. Ninaomba ufahamu ili niiokoe ndoa ya watu. Wiki iliyopita nilimtembelea dada yangu anayeishi Dodoma mjini - Chang'ombe Extension. Yeye na MR. wake na watoto 2 wana chumba na sebule. Kwakuwa nilikuwa na majukumu binafsi mbali na kuitembelea familia hii na kutokana na ufinyu...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka inaenda sioni Future yangu. Nimekata tamaa!

    MIAKA IMEENDA SIONI FUTURE YANGU; NIMEKATA TAMAA! Kwa Mkono wa Robert Heriel. "Nina miaka 33, sina mke, sina mtoto, sina kiwanja, Kodi inanishinda, wala sio Kodi nyingi haifiki hata elfu 50 Kwa mwezi lakini inanitoa jasho kuilipa, chakula nakula Kwa mbinde Kama mvuta upinde. Mavazi yangu ni...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022, naituliza nafsi yangu hivi...

    Sitaki tena vurugu za mapenzi. Ntajihamasisha kuangalia vitu vyengine zaidi, mapenzi nitawaachia magwiji. Sitaki tena kuutoboa moyo wangu kwaajili ya mapenzi,fujo nilizozipata mwaka huu 2021 zimeninyonga vya kutosha!. Sitaki mfuko wangu utoboke toboke nataka niuimarishe semeni "na...
  15. JamiiForums Tanzania Majibu yangu kwa Thadei Ole Mushi alivyouliza, nini kimempata Ndugai?

    Naheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano imeishia kununua wapinzani na kukopa Trillion 29,ninukuu ya Mzee Mwinyi sijui kama nainukuu sawa sawa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Je hii mimba ni yangu ama si yangu, wajuzi nisaidieni.!!

    Mambo vipi wakuu.. Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde. Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021 akasema anajiskia kulala lala na uchovu. Basi ikapita hiyo siku then kesho yake tena akaleta hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Zuchu nimekusikia vizuri ama?

    Are u telling me what I think ur telling me? Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ? Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??

    Habarini magreat thinkers Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??
  19. K

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ana pass Degree lakini tayari kapata kitengo

    Kuna jamaa yangu tumepiga nae shule, yeye alikua sio mtu wa ile misuli mirefu,kapata pass degree grade.ila cha kufurahisha ni kwamba jamaa tayari kalamba mkataba kwenye kampuni kubwa tu linalojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa cement hapo mjini Daslamu. Binafsi zamani nilikuwa najua mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Dar-Njombe-Iringa-Dodoma-Tabora-Kigoma-Kasulu-Kibondo-Nyakanazi-Kahama-Singida-Dom-Dar

    Habari za wakati huu, nimeona niwashirikishe kidogo Wazee wenzangu wa Road trip haka kamsafara kangu kadogo. Nilipanga kuwa mwaka huu nizunguke kwa gari baadhi ya mikoa, LENGO ikiwa ni kupunzisha ubongo tu na kujionea huko kwingine...LENGO ilikua nianzie Dar-Lindi-Songea-Njombe-...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…