Je hii mimba ni yangu ama si yangu, wajuzi nisaidieni.!!

Mmanyanigho

Senior Member
May 18, 2018
185
325
Mambo vipi wakuu..
Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde.

Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021 akasema anajiskia kulala lala na uchovu. Basi ikapita hiyo siku then kesho yake tena akaleta hizo hizo habari za kua anahisi uchovu na kulala lala na pia kuna dalili kazihisi so huenda ana mimba.

Keshokutwa yake yaani jumanne ya leo tareh 28/12/2021 anasema kapima na kakuta ana mimba kweli.

Nami nikaona si vibaya nikakijua zaidi kipimo alichotumia na nikaperuzi jf kidogo nikakutana na majibu kinzani kuhusu uhalali wa kipimo hicho kutumika ndani ya siku chini ya wiki na majibu yaliyotoka.

Wakuu naomba kuuliza, je ni muda gani mwanamke anaanza kuhisi dalili za kua ana mimba?? Na ni kweli ni siku 3 baada ya sex ama??

Na je hicho kipimo huwa kinatoa majibu sahihi hata kwa mimba za siku 6??

Na njia gani nitumie kujua kama ana mimba ili kujiridhidha na je kuna uwezekano wa kujua umri wa mimba??
Nawasilisha.
 
Mimba inaanza kuonekana kuanzia siku 7 post ovulation (baada ya ovulation kutokea na yai likawa fertilized). Tena kamstari kanakuwa kamefifia sana.
Vipi kamstari ka hiyo test kamekolea? Umepigwa siku nyingine tumia condom.
Shukran mkuu labda pia ndio maana karuka kuja kupimia geto, acha nimpange nami nione hako kamstari nitakupa mrejesho.

Nimejuta kutotumia ndom, next time haitojirudia.
 
Shukran mkuu labda pia ndio maana karuka kuja kupimia geto, acha nimpange nami nione hako kamstari nitakupa mrejesho.

Nimejuta kutotumia ndom, next time haitojirudia.
Hapo umepigwa. Either anataka akupige hela ya abortion apate hela ya kupokelea mwaka. Au alikuwa ana mimba na ameona wewe ndio una uwezo kidogo acha akusingizie.

Ila kikubwa umepigwa.
 
Wakuu shukrani sana, nitafanyia kazi maoni yenu acha niendelee kumuenjoy tu. Nshajua ananichora.
Mimba inaanza kuonekana kuanzia siku 7 post ovulation (baada ya ovulation kutokea na yai likawa fertilized). Tena kamstari kanakuwa kamefifia sana.
Vipi kamstari ka hiyo test kamekolea? Umepigwa siku nyingine tumia condom.

Kuna dalili nyingi unauziwa mzigo wa wizi

Nilitaka miandike mengi ila kwa kifupi tu hiyo mimba sio yako.

Umeelewa?
 
Back
Top Bottom