yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeweza kuinstall windows 11 kwenye pc yangu Unsupported

    Daah kweli hakuna lisilowezekana chini ya jua leo nimeweza kuwa Uptodate naenjoy na Windows 11 kwenye 2GB RAM PC
  2. JamiiForums Tanzania Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi tayari Over & out Bye...
  3. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba yangu ipo Kivule kwa wamakonde 25mil

    Habari, Nauza nyumba yangu ipo maeneo ya Kivule kwa wamakonde 25mil, haijaisha...Imeezekwa na mabati ya msauzi..Kiwanja ni cha kuandikishana serikali za mitaa hakina hati, kina ukubwa wa sq 500, ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ndo master, ina sebule,dining pamoja na jiko. Aliyepo serious...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Alichonihadithia jamaa yangu anayesoma China kuhusu chanjo ya COVID-19, kimenistua

    Ninaye rafiki yangu anayesoma China ambaye yupo huko takribani miaka 3 sasa. Nilipojaribu kumuuliza kuhusu namna serikali ya China inavyofanya kuhamasisha raia wake kuchanja chanjo ya Covid, au kuhakikisha kila raia wake amechanja ili kujikinga na corona. Yule rafiki yangu ameniambia serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya wana MMU kwenye Hoja Yangu kuwa ''Mwanaume kama huna akili usioe''

    1. Huwenda wanaume wengi huingia ndoani bila kumjua kikamilifu mwanamke ni nani. 2. Wanawake pamoja na mafunzo mbali mbali wanayopitia bado hayajawafanya watambue mwanaume ni nani zaidi wanafundishwa jinsi ya kumtuza mwanaume kitu ambacho kikweli ni kidogo sana na ziada maana upendo hujiongoza...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anafanya na kuongea mambo ambayo hayaeleweki

    Habari za wakati huu wana JF wenzangu. Washiriki wenzangu wa kila hali. Leo na mimi nimepata tatizo, tena kwa ndugu yangu, tena ninayekaa nae nyumbani kwangu. Tatizo analolipitia ni anasikia SAUTI za watu zikimuita akiwa ndani, anasikia magari yanakuja nyumbani, anataja polisi wanakuja, mara...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu jirani yangu sasa nimemvumlia vya kutosha

    Habari Wana JF? Kiufupi mimi ni baba wa familia, nimejaliwa mtoto mmoja. Twende moja kwa moja kwenye mada. Nyumba ninayoishi nimepanga wapangaji tupo wanne hakuna bachela, sasa kimbembe kuna huyu jirani yangu mmoja mke wa mtu, kaolewa ni mke wa pili kwa mshikaji jamaa noti anazo. Toka...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

    Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote. Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania. Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
  9. JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu. Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo. Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu. Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia. Ni ndefu sanaa we somaa.! Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!! Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
  11. JamiiForums Tanzania Nimkanye nani kati yangu na wewe? Ok nakukanya wewe!

    Kwamiaka kadhaa, Tumejikusanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika majukwaa ya kisiasa, kiharakati na humu mitandaoni kutoka kila upande wa dunia. Tukiwa na mvuto wa Gandhi, Nyerere, Mandela, Churchill, Roosevelt, Nkrumah, Toure, Bandaranaike, Somoza, Lenin, Mao, Reagan, Gorbachev, Morales...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nadharia yangu: Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi, DCI alidukua mawasiliano, akamshawishi Urio ashiriki kumbambikia Mbowe ugaidi

    Wandugu, Baada ya kufuatilia kwa kina kinachoendelea mahakamani naweza kuja na nadharia ifuatayo. Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi. Lakini kwa kuwa DCI alikuwa anafuatilia kwa ukaribu mawasiliano ya kila siku ya simu ya Mbowe aliona kuna connection na Denis Urio hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Kisa cha rafiki yangu wa Mafia

    Habari zenu wakuu, rafiki yangu wa mafia ananiambia hivi. Mimi nimezaliwa na kukulia kisiwani mafia, shuleni kwetu tangia naanza darasa la awali mpaka namaliza darasa la saba, hapakuwahi kuwa na mwanafunzi mkristo, sote tuliwa wa imani ya uislamu. Aliwahi kuja mwalimu mmoja wa imani ya ukristo...
  14. JamiiForums Tanzania NMB wamenifanyia uhuni; wamechukua hela yangu

    Nilikuwa na million na kitu Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 1,198,940 tarehe 2022/01/22 17:01:38. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101201775871 Nikatoa laki nne TU nikitegemea itabaki laki Saba na kitu.leo nacheki salio nakuta pesa ndogo Salio la account yako...
  15. JamiiForums Tanzania Mara yangu ya kwanza kukutana na malaika(1987)

    Za masaa wana JF. Leo nimeona ni vyema kuwaletea kisa kilichonitokea mwaka 1987 nikiwa kidato cha tano huko Ilboru secondary school. Nilikuwa nikisikia tu habari za malaika kwenye ibada za kidini. Siku hiyo niliamka usiku kwenda kusoma darasani kama kawaida yangu, yapata saa nane za usiku...
  16. JamiiForums Tanzania Baba anataka kunidhulumu Nyumba yangu. Kesi bado inanguruma Mahakamani

    BABA ANATAKA KUNIDHULUMU NYUMBA YANGU. KESI BADO INAENDELEA MAHAKAMANI. Anaandika Robert Heriel. Namheshimu Kama Baba yangu, ni mzazi wangu. Nilikuwa nampenda lakini sasa naona chuki inamea nafsini mwangu. Kisa Mimi mtoto wake ndio anikandamize, anidhulumu Mali yangu. Ananinyang'anya Nyumba...
  17. JamiiForums Tanzania Simu yangu inajazwa na meseji za kushawishiwa kubeti

    Kuna kitu ambacho sikielewi... hawa watu wa betting wanapata wapi namba yangu. Sijawahi ata mara moja kubeti lakini ntapata message Zaidi ya kumi kwa siku za kushawishiwa kubeti. Huu usumbufu wa kutojitakia unaratibiwa na nani? Naomba kufahaku jinsi ya kuwashitaki hawa watu wanaonisababishia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba yangu iliyo Mbezi Lous ina changamoto ya nyufa

    Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Watu wanapotea, wanakufa lakini wanasiasa na Viongozi wa dini kwao siyo agenda

    Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongozi wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao. Ni lini mliopewa dhamana mtachukulia haya mambo kwa uzito wake? Six years...
  20. JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…