yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dada yangu anasumbuliwa na kubanwa na pumzi na maumivu ya mbavu au mgongo

    Habari wanajukwaa hili la Afya. Nina dada ambaye anasumbuliwa sana na hali ya kubanwa na pumzi na kushindwa kuongea. Mara ya kwanza alinitumia sms kuwa halu yake ni mbaya anashindwa kupumua na anahisi kunakitu kinatembea toka kifuani hadi mgongoni. Hali hii ilikuja kutulia baada ya nusu saa. Leo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kauli yangu haina athari kwenye maamuzi ya mahakama

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hiki kikohozi kisichoeleweka kimeikumba familia yangu tu, Au ni UPEPO?

    Kuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa! Mara nyingi navyojua kikohozi huwa ni cha mda mfupi kinapoa baada ya dawa! Lakini hiki cha awamu hii kinapungua tu lakini hakiishi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019, matatizo yamekuwa yakiniandama bila suluhisho na nimejaribu kutafuta ajira sehemu mbali mbali bila...
  5. JamiiForums Tanzania Je hili ni tatizo kwa injini ya gari yangu?

    Habari za weekend wakubwa,,,moja kwa moja niende ktk mada hapo juu Mimi ni mgeni kidogo ktk kumiliki vyombo vya moto yaani gari,kwa hiyo ningeomba kujuzwa juu ya hali ninayoiona kila siku asubuhi pindi ninapowasha hiyo gari Natumia gari aina ya chaser GX100 ila kila siku asubuhi nikiwasha gari...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mo Dewji, Simba SC? Tanzania hamkuona post yangu mwezi uliopita kuhusu ubora wa Simba duniani?

    Yaani toka tarehe 3 February nilipost hapahapa kwamba Simba ni ya 98 duniani hizi statistics ni za January nilichoambulia hapa Jamii Forums ni kubishana na majinga ya utopwinyo vyura pro max wa Jangwani. Sasa in a span of 4 days mwandishi wa Ghana, Micky JR kapost hiyo issue ikapokelewa na...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha yangu, ushuhuda wangu; Sijafika sijachoka usikate tamaa Mungu yupo.

    Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sitokuja kumdhamini mtu asiyekuwa ndugu yangu

    Wanajamvi habari za leo. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kwa kuwapa kwa ufupi tukio lililosababisha nilete huu uzi . Kuna rafiki yangu ni Mchungaji wa kanisa moja hivi la kipentekoste huku tunapoishi. Kwa vile kanisa lake bado ni changa hivyo sadaka hazikidhi mahitaji ya familia...
  10. JamiiForums Tanzania Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

    Habari zenu wakuu. Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF. Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusiana na mkutano wa waziri Wang Yi na waandishi wa habari

    Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na Afrika. Muhimu zaidi ni yeye kujibu madai kuwa China inaweka mitego ya madeni barani Afrika. Wang Yi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

    Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao... "Am sorry Dear I know una nia...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Ngozi yangu imeharibika, tazama picha hii

    Habarini wataalamu, Nna mwezI Sasa nilianza kuona vidoti vidogo vidogo mbele kumbe mgongoni vimezagaa. Siku naenda faragha na mchumba wangu ndo kaniambia umeharibika. Ushauri wa dawa itakayo tibu naombeni mawazo yenu
  14. JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

    Mnavyojua tena, maisha ya harakati huwa hayana mwisho. Wiki tatu zilizopita nilikuwa nachat na mrembo mmoja matata, niliyekutana naye katika mtandao mmoja wa kuonyesha sura. Nilitokea kumpenda sana huyo binti, na tukafahamiana vizuri tu. Yeye yuko kwenye mambo ya mitindo. Tatizo yeye anaishi...
  15. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

    Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka sana hivyo tukisema Watu fulani Wachunguzwe upesi huwa tunakuwa tumeshatonywa na Vyanzo vyetu aminika...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

    copy paste fb πŸ˜‚πŸ˜‚ JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA. Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9 Sasa kahamia...
  17. JamiiForums Tanzania Nimepewa zawadi ya Condom na rafiki yangu wa kike

    Poleni na majukumu wakuu. Nipo kwenye mahusiano ya kirafiki na binti mmoja hivi kwa miaka mitatu sasa. Ni binti ambaye tunaelewana sana karibu kila kitu. Tunasaidiana, tunashauriana, tunapendana, tunaheshimiana sana kama marafiki, lakini zaidi tunaongea kuhusu kila kitu. Kilichonifanya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

    habari wakuu, kampuni tajwa hapo juu ni kampuni ya kubett ijulikanayo kama piga bet ambayo inajihusisha na michezo ya kubahatisha, jana jioni nikapata pesa yangu sehemu ,nikasema ngoja niizalishe basi nikaweka kwenye acc,nikabett live matches match zikaisha zimetoa kasoro moja tu. nikasubiri...
  19. JamiiForums Tanzania Historia yangu ya kupenda na kupendwa na Mabinti Waislam

    Hello JF members Mugona Vihi? Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano. Tofauti na hawa...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amepata scholarship ya kwenda kusomea Ukraine

    Habarini za leo, Naomba kuuliza ndugu zangu. Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine. Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla. Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…