yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

    " Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021. Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
  2. JamiiForums Tanzania Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

    Haloo is me "Mr. Liverpool" again. Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja.. INTRODUCTION Mimi ni kijana mwenye miaka 32. Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara. Ni mwajiriwa wa Halmashauri moja wapo hapa nchini. Mimi ni baba wa watoto wawili (kila mmoja na mama ake). Wanangu huishi na...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada Simu yangu ya samsung imejiweka kialama cha funguo

    Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri. Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
  4. JamiiForums Tanzania Top ten yangu ya Slow Jams kali za muda wote

    Waliosoma miaka hiyo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 nadhani hapa mnaweza kukumbuka mengi. Tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye top ten yenyewe; 1. End of the road - BOYZ II MEN 2. I love you - CELINE DION . 3. I'll make love to you - BOYZ II MEN 4. Color of love - BOYZ II MEN 5. Last...
  5. JamiiForums Tanzania Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa. Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club...
  6. JamiiForums Tanzania Flat Screen Tv yangu haionyeshi Picha ila taa ya power ina wakaa tu

    Wajameni Hisense yangu haileti picha na ina miaka 2 tu tangia ni nunue Bila shaka hii burand ya Hisense ni Chupli Chupli au kuharibika kwa kawaida tu huku ? Wajameni wadau wa Tech
  7. JamiiForums Tanzania Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

    Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha. Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi. Yaani hadi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mama yangu angeni-abort wakati bado niko tumboni mwake, angekuwa amenifanyia wema mkubwa sana

    Mama yangu angenitoa na kunitupilia mbali kipindi bado niko kwenye tumbo lake la uzazi, ingekuwa ni faida kubwa sana kwangu, ningejihesabia mwenye bahati sana, sababu nisingekuwa na haja ya kuja Duniani na kupitia mateso, usaliti, hofu, Karaha za kila namna, magonjwa, e.t.c kisha mwisho wa siku...
  9. JamiiForums Tanzania Utambulisho wa mimi member mpya

    Habarini za humu jukwaani ndugu zangu. Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani. Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu. Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
  10. JamiiForums Tanzania Pitio la Kitabu Cha Khamis Abdulla Ameir: Maisha Yangu Miaka Minane Ndani ya Baraza la Mapinduzi Khaini au Mhanga wa Mapinduzi?

    ''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
  11. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka mashine yangu ya kupimia pressure imeharibika, wapi napata fundi?

    Wadau hamjambo Nipo maeneo ya Mbezi beach naombeni msaada kwa mujibu wa kichwa Cha habari. Mashine yangu ya kidigitali ya kupimia mapigo ya moyo imeharibika Baada ya kudondoka chini na hivyo haisomeki vizuri. Wapi napata fundi wa haraka na aliye mjuzi? Nina mgonjwa nyumbani ambaye ni Mama...
  12. JamiiForums Tanzania Zamu yangu leo hii kitu ilinishindaga

    Jamani nilifanikiwa enzi za miaka 22 kupata mwanaume nauwezo wake wa kumiliki biashara za kutosha. Huyu bwana aliitwa Salimu kijana mzuri wa sura na mwili pia mkarimu na anaheshima kwa kila mtu. Utampenda kwa kujali dini yake na kila mara anasaidia masikini. Anajua kutunza sana sana . Hapendi...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu

    MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Kilichonifanya nifanye hili ni kule kusoma sehemu za kitabu cha Mzee Mwinyi na katika kusoma huko kukanikumbusha...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Chaja yangu ya simu ilikuwa fasta sana, nini imeikumba?

    Nilinunua chaja aina ya Excellent miezi miwili iliyopita nikiamini itanifaa hasahasa kwenye upande wa fast charging. Na kweli kwa kipindi cha mwezi wa kwanza niliyoitumia ilikua inajaza 100% ndani ya lisaa limoja tu. Ila nina wiki sasa, simu hata niiache kwny chaji usiku mzima haifiki ata...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

    Mungu wasamehe wanawake wote kiukweli sio akili zao…..wanateswa na mapepo makali sana
  16. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpeleka Shemeji yangu Mahakamani!

    NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI Anaandika, Robert Heriel. Haki lazima ikatendeke! Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

    Kiukweli that guy hana hata uchungu akikosa magoli huwa anatabasamu na kuendelea kutafuna jojo, he is a waste takataka kabisa Sasa naamini maneno kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo wa kike, nilidhani angempisha manzoki au attacking midfielder anayeweza kupasua Inaboa sana huo ni mzigo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi kuku walivyonizuia kuhudhuria msiba wa kaka yangu

    Ilikuwa mwaka 2011 nilipata kazi ya mkataba wa miaka 2 kijiji kimoja cha huko kwa wahaya Kutokana na kukuta huko bei ya kuku iko chini nilianza kuwanunua kidogo kidogo ili wakiwa wengi niwe naenda kuwapush Town baada ya miezi mitatu nilikuwa na kuku zaidi ya 40 ambao nilikuwa ninawahifadhi...
  19. JamiiForums Tanzania Namsaidia vipi huyu ndugu yangu?

    Wakuu ninaomba ushauri kutoka kwenu. Ninaye ndugu yangu ambae hali yake kifedha ni dhwaiful hali yaani hana kila kitu. Majuzi aliniomba akiniambia ndugu yangu bwana Mwizukulu Mgikuru ninaomba uninunulie walau freezer mbili ili niweze kufanya biashara ya kuuza ice cream na maji baridi...
  20. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ana Pass degree ila kapata kazi kwenye multinational company bila connection

    Sio kwamba nimesimuliwa hapana. Huyu jamaa yangu alihitimu bcom in accounting kutoka pale udbs miaka kadhaa iliyopita. Basi majuzi kati tuko nae ghetto tunapiga mvinyo tukaona tangazo kutoka kwenye kampuni kubwa mafuta lenye makao makuu yake huko Uingereza wakihitaji mhasibu kigezo ni uwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…