Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 658
Nilinunua chaja aina ya Excellent miezi miwili iliyopita nikiamini itanifaa hasahasa kwenye upande wa fast charging.
Na kweli kwa kipindi cha mwezi wa kwanza niliyoitumia ilikua inajaza 100% ndani ya lisaa limoja tu. Ila nina wiki sasa, simu hata niiache kwny chaji usiku mzima haifiki ata asilimia 60.
Wataalam wa izi mambo em nisaidien sababu itakua nn. Au li infinix langu ndo tatizo