Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,224
22,305
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa.

Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club au hata kwenye sherehe likiachiwa sebene la Etat Major au Pentagone ya Wenge huwa kunatokea msisimko wa ajabu. Kwangu mimi kusema Bongo flava ni bora kuliko dansi na rhumba ni kichekesho.

Top ten zangu ziko mbili. Ya kwanza ni muziki wa dansi kwa ujumla na ya pili ni rhumba ambayo naweza sema labda ndo slow jams ya kiafrika.

Kumi bora hii hapa:
1. Losambo - EXTRA MUSICA
2. Droit de Veto - KOFFI OLOMIDE
3. Titanic - WENGE MUSICA BCBG
4. Pentagone - WENGE MUSICA BCBG
5. Amnistie Shalai - EXTRA MUSICA
6. Effrakata - KOFFI OLOMIDE
7. Solola Bien - WENGE MUSICA MAISON MERE (WERRASON)
8. Original - FALLY IPUPA
9. Decompte final - SUZUKI
10. Gate le coin - AWILO LONGOMBA

Kumi bora ya rhumba hii hapa;
1. Omba - JB MPIANA
2. Mayday - FALLY IPUPA
3. Feux de l'amour - JB MPIANA
4. Vita Imana - FERRE GOLA
5. Airways - KOFFI OLOMIDE
6. Attente - FALLY IPUPA
7. Une Minute - FALLY IPUPA
8. Fatmata - SAM MANGWANA
9. 100 Kilos - FERRE GOLA
10. Blandine - WERRASON

Kama una top ten yako tuambie pia.
 
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa.

Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club au hata kwenye sherehe likiachiwa sebene la Etat Major au Pentagone ya Wenge huwa kunatokea msisimko wa ajabu. Kwangu mimi kusema Bongo flava ni bora kuliko dansi na rhumba ni kichekesho.

Top ten zangu ziko mbili. Ya kwanza ni muziki wa dansi kwa ujumla na ya pili ni rhumba ambayo naweza sema labda ndo slow jams ya kiafrika.

Kumi bora hii hapa:
1. Losambo - EXTRA MUSICA
2. Droit de Veto - KOFFI OLOMIDE
3. Titanic - WENGE MUSICA BCBG
4. Pentagone - WENGE MUSICA BCBG
5. Amnistie Shalai - EXTRA MUSICA
6. Effrakata - KOFFI OLOMIDE
7. Solola Bien - WENGE MUSICA MAISON MERE (WERRASON)
8. Original - FALLY IPUPA
9. Decompte final - SUZUKI
10. Gate le coin - AWILO LONGOMBA

Kumi bora ya rhumba hii hapa;
1. Omba - JB MPIANA
2. Feux de l'amour - JB MPIANA
3. Vita Imana - FERRE GOLA
4. Airways - KOFFI OLOMIDE
5. Attente - FALLY IPUPA
6. Une Minute - FALLY IPUPA
7. Fatmata - SAM MANGWANA
8. Number two - KOFFI OLOMIDE
9. 100 Kilos - FERRE GOLA
10. Blandine - WERRASON

Kama una top ten yako tuambie pia.
DANSI
1. Djojo ngonda-Wenge BCBG.
2. Nadine-General Defao.
3. Julia-Koffi Olomide.
4. Liberation-Wenge BCBG.
5. Phiri- General Defao.
6. Koukakorobo-Papa Wemba.
7. Pentagone-Wenge BCBG.
8. Rhoda-Soukous Stars.
9. Monie-Kanda Bongo Man.
10. Gigy- Pepe Kalle.

ZA RHUMBA
1. Omba-Wenge BCBG
2. Petit na London- Koffi Olomide
3. Rail on- Papa Wemba
4. Bupe- Empire Bakuba(Papy Tex)
5. Ibetibi- Empire Bakuba(Papy Tex)
6. Mad- Yondo Sister
7. Fatmasa- Mayaula Mayoni
8. Annie- General Defao
9. Ya Samangwana nimesahau jina.
10. Ya Fally Ipupa ipo kwenye album ya Bakanja.
 
Kubwa lao ni Felisitee (Parafifi) ya Grand Kalle ina zaidi ya miongo mitano na bado ni hit song inaanzisha muziki wa karibu bendi zote Congo na Tz
 
DANSI
1. Djojo ngonda-Wenge BCBG.
2. Nadine-General Defao.
3. Julia-Koffi Olomide.
4. Liberation-Wenge BCBG.
5. Phiri- General Defao.
6. Koukakorobo-Papa Wemba.
7. Pentagone-Wenge BCBG.
8. Rhoda-Soukous Stars.
9. Monie-Kanda Bongo Man.
10. Gigy- Pepe Kalle.

ZA RHUMBA
1. Omba-Wenge BCBG
2. Petit na London- Koffi Olomide
3. Rail on- Papa Wemba
4. Bupe- Empire Bakuba(Papy Tex)
5. Ibetibi- Empire Bakuba(Papy Tex)
6. Mad- Yondo Sister
7. Fatmasa- Mayaula Mayoni
8. Annie- General Defao
9. Ya Samangwana nimesahau jina.
10. Ya Fally Ipupa ipo kwenye album ya Bakanja.
Asante sana
 
Nimepoteza kipenzi changu nchini Tanzania.... Kama kule Arushaaa, sijui

afu kuna Bongweee booongwe ... bongwe ndima ...... Mayaula Mayoni....

Afu kuna kale kawimbo ... Twende Nairobiiii tukamwone baba Moi,..... Nadhani ni Mbilia Bel

Kunan kale kanaimbwa " Walisema mimi ooooh mimi.. mimi. ... Tutakufa bute tutakufa bure... bure oooooh bure bure..

Afu kuna kifaaa. kinaimbwa... Ela Kala boyieng eeeeh oooohh...

Nyingine mtajua wemyewe
 
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa.

Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club au hata kwenye sherehe likiachiwa sebene la Etat Major au Pentagone ya Wenge huwa kunatokea msisimko wa ajabu. Kwangu mimi kusema Bongo flava ni bora kuliko dansi na rhumba ni kichekesho.

Top ten zangu ziko mbili. Ya kwanza ni muziki wa dansi kwa ujumla na ya pili ni rhumba ambayo naweza sema labda ndo slow jams ya kiafrika.

Kumi bora hii hapa:
1. Losambo - EXTRA MUSICA
2. Droit de Veto - KOFFI OLOMIDE
3. Titanic - WENGE MUSICA BCBG
4. Pentagone - WENGE MUSICA BCBG
5. Amnistie Shalai - EXTRA MUSICA
6. Effrakata - KOFFI OLOMIDE
7. Solola Bien - WENGE MUSICA MAISON MERE (WERRASON)
8. Original - FALLY IPUPA
9. Decompte final - SUZUKI
10. Gate le coin - AWILO LONGOMBA

Kumi bora ya rhumba hii hapa;
1. Omba - JB MPIANA
2. Feux de l'amour - JB MPIANA
3. Vita Imana - FERRE GOLA
4. Airways - KOFFI OLOMIDE
5. Attente - FALLY IPUPA
6. Une Minute - FALLY IPUPA
7. Fatmata - SAM MANGWANA
8. Number two - KOFFI OLOMIDE
9. 100 Kilos - FERRE GOLA
10. Blandine - WERRASON

Kama una top ten yako tuambie pia.
Hongera mkuu umenikumbusha zile raha za miziki. Si wengine ni wababaishaji tu, ingawa tunazipenda hizi nyimbo, ila hatuna kumbukumbu ya majina. Kuna huyu mwamba, GENTAMYCINE ,hajabobea kwenye michezo na siasa tu, huku nako ana utaalamu mkubwa, kama vile aliishi, au anaishi huko huko Congo! Nitafurahi, naye akitia neno kwenye uzi huu!
 
Kati ya hizo zote the best of the bestie ni :

1.Blandine ya Werason
2.Titanic ya Wenge musica

Kuna mtu ata bisha kweli hapa jamani ? Binafsi kuna siku nili drive Dar-mbeya nilisikiliza hizi mbili tu mpaka na fika zili nifariji sana, kitu ambacho kika waida una weza choka ukabadili lakini kwangu hali ilikua tofauti
 
Back
Top Bottom