yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Kama Mama Yangu

    Habari member wa JamiiForums ningependa kuwaleteeni Riwaya ya ndugu mwandishi Kelvin kagambo ili tuelimike na kubuludika pamoja. ======== RIWAYA: MWANAMKE KAMA MAMA YANGU MTUNZI: KELVIN DONATUS KAGAMBO SIMU: 0713 48 28 16 FACEBOOK: KEV CLEVER KAGAMBO SEHEMU YA KWANZA (1) "Vuta picha...
  2. JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  3. JamiiForums Tanzania Jumatano yangu na "Mie nataka Laki " ! Older Women '30+' Know what they want!

    Onyo: BIDADA wale wa" Mkaka gani Unatuletea inshu hizi humu , Hawa ninawaambia, Achen Wivu , sijakutongoza na Sina mwanamke JF na kwakua sitegemei kupata mwanamke humu, Tulia am free ndio maana naandika ili ikitokea nmeingiwa na Tamaa Kwa mdada wa JF, basi apitie post zangu. . KWA JAMAA ZANGU...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni sawa umenizaa, lakini umefupisha maisha yangu

    Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri. Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maoni yangu kuhusu uchaguzi Kenya: Wananchi wamefikishwa hatua ya kuchagua liwalo na liwe!

    Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis. Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya nani mzuri zaidi kati ya ubaya. Hatuna la kujifunza hapo!! SAD BUT TRUTH
  6. JamiiForums Tanzania JF imekuwa ikinijibu maswali yangu mengi mpaka nimeamua kuingia mazima

    Habari kila mmoja, Nimekuwa nikipitia baadhi ya nyuzi za JF kwa mda sasa nimekuwa nikipata majibu ya maswali yangu, sambamba na vicheko, maana kuna members humu wana excellent sense of humour na mimi napenda utani mzuri. Basi kusema hayo nmeamua nijiunge na huu mtandao ulio wa kipekee kwa aina...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mtu nisiyejiamini na sipendi "kushobokea" watu. Nimeamua kufanya maamuzi haya

    Habari zenu humu wadau. Ninahitaji msaada wenu katika mawazo na ushauri. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 mkazi wa jijini Dar es salaam(Sinza). Sijao wala sina mtoto, nina kazi ambayo huniingizia zaidi ya milioni moja kwa mwezi. Nimekuwa mtu wa nisiyejiamini kabisa na kuona dunia au watu...
  8. JamiiForums Tanzania Nilitembea na binti ya dada yangu bila kutegemea

    Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la. Tukasalimiana na tukabadilishana na namba. Huyu binti alikuwa anafanya kwenye spa katika hoteli kubwa hapa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuacha tabia ya kupenda 'totoz' niliyorithi kwa babu yangu?

    Nimerithithi vitu vingi, mashamba na tabia nzuri kwa mbaya toka kwa babu yangu ila hili la totoz linaniumiza kichwa Babu yangu alikuwa na wake saba na michepuko kadhaa kijijini,alizaa na wanawake za watu pale kijijini. Nimejaribu kuwa tofauti na yeye nimeshindwa, Mwaka juzi nilifunga hesabu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ::Rafiki yangu akiwa Home anapiga show mbovu ila akiwa Away anapiga show kali sana

    Habari ! Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!, Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kazi yangu

    Habari kwenu nyote, Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, naanza kwa utambulisho mfupi ili niweze kusaidika kama ninavyotarajia maana JF kuna wataalam wa kila namna Mimi ni mwalimu, nimekua kwenye hii kazi kwa muda wa miaka minne sasa, nimekua nikifundisha katika...
  12. JamiiForums Tanzania Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

    001: umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu. Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es...
  13. JamiiForums Tanzania Je dhakali yangu imepungua? Au ni nini hiki kinaendelea?

    Miaka ya nyuma ilikuwa napopiga mashine unakuta sometimes mtoto kama kainama anapinda kiuno upande kutafuta angle ambayo hatakuwa aki feel the pain. Au anaomba nimwandae tena aloane. Miaka hii....thubutuuuuuu.... Hamna kitu unakuta mtu kabinua kama yote na unapump unapishana na upepo tu...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Tabasamu ya nchi yangu

    Naitwa Kendrick de hustle ningependa kuchangia mawazo yangu ili kiweza kuboresha mabadiliko kwenye Nchi yangu🇹🇿. Kwenye sketa ya ELIMU. Ningependa kuona mabadiliko ya kuongezwa mishara kwa WALIMU kutokana wao ndio kiini kikubwa kwenye kukuza huelewa wa wanafunzi kwenye sketa nyingine kama...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Mama yangu ni mwanamke jasiri...

    MAMA YANGU NI MWANAMKE JASIRI Naitwa Moza Nilizaliwa Migato iliyokuwa wilaya ya Bariadi Mkoa wa Shinyanga, Ambayo Hivi Sasa Ipo wilaya ya Itilima Mkoa wa simiyu. Mimi Ni mtoto wa sita (6) Kati ya watoto (12) aliobahatika kupata mama yangu, Ambapo Kati ya hao wanane (8) ndio wako hai huku wanne...
  16. JamiiForums Tanzania Na rafiki yangu matata sijui mnae huko kwenu

    Leo nimemkumbuka my rafiki yangu sio kipenzi kwa sababu alikuwa anakera sana. 1. Anaweza kuvaa brazia zako . 2. Kuvaa nguo zako hataka kama ni special kiasi gani . Naakiharibu kitu anasema kwani si bahati mbaya unakasirika nini? Halafu hupenda sana kulalamika bila sababu. 3. Hapendi wewe ukiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Namna ya kubadili Email humu na Username (ID)nahisi Kuna mtu kadukuwa Account yangu.

    Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie. Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu sana It seems that kani-target na kafanikiwa kujua ID yangu humu maana sina MAZOEA ya Kulogout...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mama yangu Tanzania -sensa 2022

    Ni rushwa, ufisadi na upendeleo wa kutisha. Behold! Behold! Tazama! Tazama! Na. 164. Tabitha Nyansika Getama karani wa sensa kata ya kivule wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar Es Salaam ~ mtoto wa Diwani wa kata ya kivule. Na. 174. Yusuph Nyansika Getama karani wa sensa kata ya kivule wilaya ya Ilala...
  19. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimfiche wapi Binti yangu?

    Dunia gunia wahenga walisema, Pilika za maisha hasa utafutaji umetufanya kuwa busy na kusahau wanaotuhitaji zaidi. Ubusy wa kazi na Safari umenifanya nisipate muda wa kukaa na familia yangu. Nina binti yangu mdogo wa miaka minne,mama yake ni mtumishi na yeye akitoka asubuhi hurudi jioni au...
  20. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Rais tujilaumu sisi wenyewe {Tanzania nchi yangu}

    tusicho kijua ni kuwa Marais wengi sio Binaadam na sio Watu pia, ili uwe Binaadam ni lazima uwe na sifa za kibinaadam na ili uwe Mtu ni lazima uwe na sifa njema za Kiutu. ndio maana wagombea wa Urais ambao ni Watu na Binaadam watagombea Urais hadi kifo kinawachukua awafanikiwi ng'oo kukikalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…