yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Kwako Heche, chukua hii sio yangu ila ni yule akufanyae unapumua kama mimi na utabarikiwa

    Heche, Kwanza pole na majukum ila pia hongera kwa kunimalizia bando maana nakusikiliza sana kwenye ziara mbalimbali za kichama usimamapo jukwaani, kipo kibari kikubwa juu yako, Mungu anasema juu ya nchi hii Lakini Mungu anakumbusha ahadi yako, uliwahi tamka Kwamba, Siku ukiona chadema ipo...
  2. JamiiForums Tanzania Friji yangu inawaka na kuzima, tatizo litakuwa nini?

    Friji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na changamoto hii naombeni msaada tafadhali?
  3. JamiiForums Tanzania Kisa cha Rafiki yangu Kutajirika na Kufariki kinahuzunisha

    Jamaa tulimaliza naye shule mwaka 1996 form four. Mimi nikaendelea na masomo na kufanikiwa kumaliza chuo. Nlikuja kutana nate tena mwaka 2003 akiwa anahangaika na maisha kwa kufanya biashara ndogo ndogo. Aliendelea nazo mpaka mwaka 2019 ambapo maisha yake yalibadilika sana. Akaja kuwa na pesa...
  4. JamiiForums Tanzania Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi. Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

    Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata stimu kabisa maana likes zenyewe siyo sincere. Basi kwa shingo upande ikanilazimu kuwaignore...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Nakatwa salio langu Tsh.100 ya huduma ya Mdundo bila ya ridhaa yangu

    Habari zenu Wakuu, Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Hivi karibuni nimekuwa nikikutana na hali ya salio langu kukatwa kiasi cha Tsh.100 kila baada ya mida flani bila ya ridhaa yangu. Nikiwapigia Vodacom wananiambia kuwa nakatwa salio sababu nimejisajili kwenye huduma ya "Mdundo". Na zaidi sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Je tatizo hili ni facebook yangu?

    Yaani huko juu namba chochote wala sehemu ya kusearch au kuona ujumbe hakuna.
  8. JamiiForums Tanzania Maono yangu kuhusu ushoga na jinsi ya kukomesha

    Duniani SIRI hakuna tena, kila kitu kipo wazi hata na uliyemtumia meseji kapiga screen shot siku ukijisahau akuumbue. Usiri ulikuwa unaepusha vitu vingi sana,(Walikuwa wanaumia wacache kuliko sasa hivi ukiweka SIRI wazi ndo inaumiza zaidi kuliko ungetoa habari kwa SIRI au ukaacha). sasa hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Alikuwa rafiki yangu

    Good morng Tanzanian Nina shemeji yangu mke wa kaka yangu ambae alikuwa rafiki kwangu tuna shauriana mengi sana mazuri na wakati mwingine kaka yangu akimkosea bas huja kwangu kulalamika nami namtuliza nampa ushauri mzuri na kweli akifwata ana solve vizuri tu Shida imeaza soon kuna tajiri...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa dada yangu: Ukioa mdada wa chuoni ambae kwao anaweza kurudi kirahisi tegemea kusingiziwa unamfanyia ubaya akiona majukumu ya ndoa magumu

    Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study. Mifano ipo mingi sana juu ya wanawake wasomi wa vyuoni kuwa wasumbufu kwenye ndoa ila wacha niweke kisa cha mtu naemjua kabisa wala si...
  11. JamiiForums Tanzania Wakinadada wanajaza toilet paper kwenye choo changu cha baa, naumia

    Wakinadada mkija bar hasa ya kwangu iko Msamvu, msitumie toilet paper, tumieni flash water ya kupump na mkono!
  12. JamiiForums Tanzania Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

    I hope y'all are doing just fine, and so Do I. Straight kwenye mada... #1: 4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa akiugua ugua ila alitoa taarifa kwenye uongozi wake wa Choir, back then nami nilipenda kushiriki...
  13. JamiiForums Tanzania Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

    Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake. Sifa zake; Mweusi Urefu Size ya kati. Ana elimu ya degree. Ana kampuni yake. Ana maisha...
  14. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Wakuu habari, juzi nilileta uzi kuhusu line yangu kufungiwa Kabla ya yote kwanza niwajibu waliokuwa wakilaumu au kushangaa mtu kuweka milioni 10 kwenye M pesa wakisema benki ndio salama Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Charger yangu inapata joto kali nikichajia power bank, inaweza kuharibika ama kuharibu power bank? Nini sababu na suluhisho?

    Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo. Charger yangu details zake ni hizi Samsung - Adaptive Fast charging Input: 100 - 240V, 50-60Hz 1.0A OUTPUT...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

    Ilikuwa ni mwishoni mwa Mwaka jana 2022. Basi kutokana na kazi nyingi za kijamii huku ikizingatiwa kuwa Taifa tulikuwa bize ktk kujenga nchi, huku wengine tukihitajika zaidi katika maswala ya kitaifa ikiwemo swala la maridhiano, katiba Mpya, mfumuko wa bei ya bidhaa, kuifungua nchi na harakati...
  17. JamiiForums Tanzania Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Wakuu kwema? Line yangu ya Vodacom inasoma mtandao vizuri lakini haifai kupiga namba yoyote, iwe ya kawaida au Mpesa au kununua vifurushi Nilipoenda kwenye Vodashop nikidhani kuwa nilifungiwa sababu sikuhakiki namba vizuri Lakini Vodashop walipoicheki wakasema niliihakiki vizuri na imetokea...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  19. JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi kuhusu dini

    Nimelelewa nikiaminishwa kwamba mimi ni bora kuliko kundi lingine la kidini (Nikiwa Mkirsto) nikaaminishwa kuwa jamii yetu ni jamii bora na nikaaminishwa kuwa hakuna la muhimu kwa wengine ila kwetu tu. Lakini nikawa ninajiuliza ni vipi Dini inafundisha utengano mkubwa kiasi hiki. Niliishi na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kura yangu ya 2025

    Tangu mfumo wa vyama vingi uanze, nimepiga kura yangu kumchagua Rais kama ifuatavyo: 1. 1995 - Kura ya Rais - Agustine Lyatonga Mrema (NCCR Mageuzi). Mbunge pia nilimpa wa NCCR 2. 2000 - Rais - Prof Lipumba (CUF) - Mbunge - Freeman Mbowe (CHADEMA0 3. 2005 - Rais - Freeman Mbowe - Mbunge kura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…