yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

    Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
  2. JamiiForums Tanzania Nina haja ya dhati Lamomy wa JF kwenye maisha na huduma yangu daima

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya yako na yangu, kwa wasaa huu muhimu, ambao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwetu sisi sote. Tumeipewa zawadi hii bure na tuitumia bure, na kwahivyo yatupasa kuitumia vizuri kadiri tuwezavyo na kwa uaminifu, huku tukimshukuru yeye pekee daima, kila wakati tunapopata...
  3. JamiiForums Tanzania Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia mafanikio yangu?

    Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia maisha na haya mafanikio yangu kidogo niliyonayo afya njema aliyonipa Mungu. Eti kwakuwa mzazi au mlezi wangu hana, mafanikio kama ya kwangu. Huu kwangu ni ubinafsi tu na ninaamini kila mmoja ana bahati zake katika safari yake ya maisha. Mfano Diamond v/s...
  4. JamiiForums Tanzania Maoni yangu ya kisomi kuhusu mabango ya Yanga

    Nitaelezea kwa ufupi sana maoni yangu ya kisomi kuhusiana na ishu ya mabango ya Yanga yanayoonyesha matokeo ya mechi yake na Simba yaliyopachikwa maeneo mabalimbali Dar es Salaam. Upande mmoja wamekuja na hoja kuwa walichofanya Yanga ni kuchukua maudhui kutoka Azam TV na walichofanya ni...
  5. JamiiForums Tanzania Niko njia panda katika maamuzi yangu na wazazi wangu, wanataka nijiendeleze kielimu

    Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia. Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
  6. JamiiForums Tanzania Niyaonayo kwenye familia yangu; Vijana tuna la kujifunza kwani nasi ni wazee watarajiwa. Soon tutaumbuka!

    Nisiwachoshe! Nimezaliwa kwenye familia ya pangu pakavu tia mchuzi tule. Tupo watano, wote tumesoma Hadi elimu ya juu ila wenye kazi ya uhakika wa kipato yaani ajira maalumu ni watatu. Mzee alistaafu miaka mitatu iliyopita na kufanikiwa kupata kiinua mgongo not less 50ml sasa hivi ni mwendo wa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Arusha wanachomana visu

    WA SALAAMU.. mimi nimezaliwa Arusha Nimekulia Arusha Nimesomea Arusha. Ila sasa naogopa hata kurudi nyumbani wajuba,kumekuwa na matukio ya hatari sana,vijana wanauwana hali inatisha Arusha,kipindi naishi nyumbani chugah mambo ya kuuwana yalikuwa sio kama sasa,kuna kizazi kimeibuka cha...
  8. JamiiForums Tanzania Pesa ikikubali nitatimka bongo nikaishi Sweden

    Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea zawadi nyingi na vitu vya thamani sana. Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuishi kwa amani usipungue kiwango hiki cha pesa

    gharama za maisha zimepanda , kiasi cha kwamba tunaondelea kuishi kwenye mzunguko ule ule tunaishi maisha Magumu sana nimejaribu kufanisha gharama za maisha kwenye nchi nilizopita , nilichokiona maisha yamepanda kila kona, na...
  10. JamiiForums Tanzania Najuta kumtia umasikini Mama yangu

    Mimi ni kijana Ambae nimezaliwa mwanzoni mwa mwaka 1990. Hapa hapa kwenye jiji la MAKONDA. Japo Baba na Mama yangu Kila mmoja ni mwenyeji wa mkoa wake. Mama yangu alibahatika kusoma Hadi darasa la 7. Alifanikiwa kusoma typing enzi hizo ilikuwa hot sana kozi hiyo kama ilivyo computer siku hizi...
  11. JamiiForums Tanzania Kaka yangu anatafuta mke mwema

    Kaka yangu anatafuta mke mwema . Sifa zake : awe ni mweupe , mrefu wastani , awe na umbo namba 8. Awe tayari kuamia mwanza . Mkristo mcha Mungu na awe na kazi. Weka namba zako inbox
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC

    Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa). Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Simba yangu isikilize kwa makini

    Baada ya kichapo tena cha mbwa koko aliyekula mboga ya mchana kutoka kwa mahasimu wetu wa "mabonde kuinama "kwenye mafuriko. Kama mshabiki, mnazi, mkereketwa ninashauri yafuatayo: 1.TATHMINI IFANYIKE KUHUSU MWENENDO WA KLABU YETU NDANI NA NJE YA UWANJA. Lazima wataalamu watuambie je kila mmoja...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu?

    Kwema, Msaada jinsi ya kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu. Yaani nikiwasha data matangazo ya hovyo yanakuja mara 1× bet, yaani ya hovyo hovyo tu. 😫😫😫 Msaada please.
  15. JamiiForums Tanzania Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

    Kama mwandishi wa habari huru nilikua nachunguza viini vya migogoro katika maeneo ya ukanda huu wa maziwa makuu. Nilibahatika kufanya mahojiano ya kina na washirika wa iliyokua serikali ya Rwanda kabla ya kupinduliwa mwaka 1994. Watu wengi hawawezi kujua kua,karibia majenerali wote wa iliyokua...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wa bara hamna ustaarabu,usiku wa manane majirani wamezunguka nyumba yangu eti wanaokota kumbikumbi

    Kweli ustaarabu ulianzia pwani, yaani usiku wa manane nimelala nasikikia, nantondo lolo mayo, nikadhani ni vibaka wa kike au wachawi kumbe wanaokota kumbikumbi kuzunguka nyumba. Ustaarabu kazi Kidogo nitoke na manati yangu. Sie wengine tuna madeni mengi sana ukikatizwa usingizi kuupata tena ni...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Nataka nirudishe rangi ya ngozi yangu lotion au mafuta gani yananifaa

    Habari wanajf By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so ningeomba mnitajie lotion au mafuta sahihi ya kurudisha ngozi yangu Nifah njoo unisaidie hapa kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanume mwenye hizi sifa ndo anatafutwa kwa tochi hapatikani

    Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi Mpole ambaye haongei Sana Msafi wa Mwili roho na Matendo Mwenye haiba ya uanaume (masculinite ) Mwenye Akili za kujiongoza yeye na...
  19. JamiiForums Tanzania Dada yangu zingatia sana kuolewa liwe jambo lako la kwanza

    Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa. Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali. Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka. Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu...
  20. JamiiForums Tanzania Usiwasahau ndugu kisa una marafiki, tujifunze kuwapa nafasi wote

    Kuweka stori iwe fupi ni kwamba ndugu huyu alijiingiza kwenye kununua mali iliyotumika pasipo mkataba wala risiti, kanasa kwenye tundu hapo juzi na kiasi kilichohitajika ili achomoke ni milioni 1. Ana marafiki wengi lakini kwenye hili tatizo wameingia mitini ni wawili tu ndio wamechangia cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…