Experience yangu JF miaka 10 iliyopita

Ironbutterfly

JF-Expert Member
Feb 5, 2023
3,044
8,165
Habari za usiku waungwana.

Nimekumbuka experience yangu humu JF 10 years ago, nilikutana na a nice guy, ngoja nishee nanyi.

Ilikuwa ndo nimegraduate chuo kikuu, nikaajiriwa kampuni X jijini Arusha, ilikuwa kampuni yenye projects nyingi, halafu za kusafiri almost every week kuna trip.

Mimi ndo nilikuwa mdogo pale ofisini na Sina majukumu ya kifamilia, so almost project nyingi nilikuwa natumwa mimi field, kuchukua data, kuandaa report na kuzituma makao makuu ya ofisi Arusha.

Ilikuwa kazi tamu Sana, manake nilikuwa on road mara nyingi, usafiri, hela za hotel au Lodge na posho yangu ya field ukiacha salary ilikuwa kampuni inacover.

Nimesafiri mikoa mingi Sana, nilifika hadi kwa mzee magu enzi hizo akiwa waziri, nikaweka kambi pale mwezi kwa project iliyokuja kuwa implemented akiwa prezidaa, nimefika hadi mpakani mwa TZ na uganda, mpakani na Burundi, Rwanda, Kenya.

Nimetembelea mbuga zetu Kama Tarangire, lake manyara, Mikumi, etc ambako niliweka kambi mwezi, nikikusanya data za tanapa kwaajili ya financial reporting. Ilikuwa full paid, utalii wa ndani bure, vyakula, vinywaji, posho, u name it.

Na nilisevu sana kipindi hiko manake nilikuwa natuma pesa nyumbani kwa wazee wangu weekly ya matumizi, inayobaki naweka kwa akaunti.

So nilikuwa after kutoka field ni kupata misosi, kucompail report ya siku hiyo then naagana na team members (mimi nilikuwa team leader nikiiwakilisha kampuni kwenye hizo project). Kwahiyo hata posho mie ndo nilikuwa nawalipa extra team kutegemeana na sehemu tutakayokuwa na kazi na uhitaji then narejea lodge kupumzika.

Sikuwa na Mambo mengi, sikuwa hata na boyfriend. Ni katika kipindi hiko nikawa nautumia muda wangu unaobak JF kuondoa upweke. Nilikuwa natumia I'd fulan ambayo nilisahau password yake.

Basi bana katika kuishi ulimwengu huo wa mtandao nikawa famous kiasi fulani, akatokea jamaa mmoja akaniPM tukaanza kufahamiana hadi kutumiana picha na kila mtu akampa mwenzie details zake full ikiwemo namba za simu, inshort yalianza mahusiano.

Wakati huo akiwa masomoni nje ya nchi alikuwa kitengo flani govt, so alipewa scholarship kuongeza elimu. Tuliwasiliana kimtandao kwa mwaka mzima.

Then mwishoni mwa mwaka huo serikali ikatangaza ajira, boss wangu mmoja aliyeko serikalini akanitumia tangazo akanambia omba, huko private ulipo na nature ya hii kazi hutoweza kuja kuwa na stable family. Nikamjibu wanataka experience ya miaka mitano kwenye industry, akanambia we omba, kama ni gpa unayo nzuri, you're hard working, na experience yako hii ya mwaka mmoja private utapata.

Basi nikaomba, tukaitwa interview Dec, January mwaka uliofata majina yakatoka, nikawa nimepata kweli. Mawasiliano still yakawa yanaendelea kati yangu na jamaa. Ulikuwa ulimwengu mzuri ajabu.

Nikazungumza na boss wa kampuni kumweleza kuhusu kupata ajira govt, alisikitika mimi kutaka kuondoka kwani nilikuwa naisave kampuni kwenye projects, zinafanyika kwa wepesi na kwa haraka. Basi akaridhia kishingo upande, nikamkonect na dogo aliyemaliza nyuma yangu, akachukua Ile position.

Nikaandika barua ya kuacha kazi kwa hiyari kwenye Ile kampuni, boss akanipitishia, nikwasilisha na maombi ya kulipwa NSSF yangu pale Arusha headquarters. Kweli nikalipwa na kuwa cleared, nikaanza kazi rasmi serikalini.

Jamaa yule tukawa tunaendelea kuwasiliana kimtandao mostly JF na FB, then ikafika kipindi kamaliza masomo na anajiandaa kurudi nyumbani toka masomoni abroad.

Wakati huo nishahamia Dar es salaam nilikokuwa nimepangiwa kikazi. Akafanya arrangement tuonane sasa ana kwa ana. Tulifanikiwa kuonana, akaja kutembelea ofisini nami nikafika kwake ofisini nk.

The guy alikuwa kanizid like 12 years Ila was so hot, handsome wa ukweli sauti flani nzuri yenye lafudhi ya kiulaya🤣mcheshi, mstaarabu, mpole, yani alikuwa na sifa zote a girl can dream about.

Tulidate for a while baadae akaja nieleza ukweli kuwa he is married. Akanionesha na mkewe na watoto wawili. lol I was so heart broken and dissapointed. Nikaanza punguza mazoea taratibu na yeye manake nilikuwa nimezama kwa mahaba🤣🤣hadi penzi likajifia kifo Cha asili. Manake niliona hamna future pale, ukizingatia ndo nilikuwa mdogo afu najitafuta sasa.

Ila niliinjoi Sana kwa kipindi hiko nilichokuwa naye toka yuko nje ya nchi hadi aliporudi na tukawa na mahusiano halisi. He was quite a gentleman. Saivi yuko Dodoma ila hatuna mawasiliano since then.

Ni miaka imepita kama 10, it was a nice experience ingawa iliisha kitofauti🤣🙏
 
Habari za usiku waungwana.
Nimekumbuka experience yangu humu jf 10 years ago,nilikutana na a nice guy,ngoja nishee nanyi.

Ilikuwa ndo nimegraduate chuo kikuu,nikaajiriwa kampuni x jijini Arusha,ilikuwa kampuni yenye projects nyingi,halafu za kusafiri almost every week kuna trip.Mimi ndo nilikuwa mdogo pale ofisini na Sina majukumu ya kifamilia,so almost project nyingi nilikuwa natumwa mimi field,kuchukua data,kuandaa report na kuzituma makao makuu ya ofisi Arusha.
Ilikuwa kazi tamu Sana,manake nilikuwa on road mara nyingi,usafiri,hela za hotel au Lodge na posho yangu ya field ukiacha salary ilikuwa kampuni inacover.

Nimesafiri mikoa mingi Sana,nilifika hadi kwa mzee magu enzi hizo akiwa waziri,nikaweka kambi pale mwezi kwa project,iliyokuja kuwa implemented akiwa prezidaa,nimefika hadi mpakani mwa tz na uganda,mpakani na Burundi,Rwanda,Kenya,nimetembelea mbuga zetu Kama Tarangire,lake manyara,Mikumi, etc ambako niliweka kambi mwezi,nikikusanya data za tanapa kwaajili ya financial reporting.Ilikuwa full paid,utalii wa ndani bure,vyakula,vinywaji,posho ,u name it.Na nilisevu sana kipindi hiko manake nilikuwa natuma pesa nyumbani kwa wazee wangu weekly ya matumizi,inayobaki naweka kwa akaunti.

So nilikuwa after kutoka field,ni kupata misosi,kucompail report ya siku hiyo,then na agana na team members (mimi nilikuwa team leader nikiiwakilisha kampuni kwenye hizo project)kwahiyo hata posho mie ndo nilikuwa nawalipa extra team kutegemeana na sehemu tutakayokuwa na kazi na uhitaji,Then narejea lodge kupumzika,sikuwa na Mambo mengi,sikuwa hata na boyfriend.Ni katika kipindi hiko nikawa nautumia muda wangu unaobak JF kuondoa upweke.Nilikuwa natumia I'd fulan,ambayo nilisahau password yake.Basi bana katika kuishi ulimwengu huo wa mtandao,nikawa famous kiasi fulani,akatokea jamaa mmoja,akaniPM tukaanza kufahamiana,hadi kutumiana picha na kila mtu akampa mwenzie details zake full,ikiwemo namba za simu, inshort yalianza mahusiano.Wakati huo akiwa masomoni nje ya nchi,alikuwa kitengo flan govt,so alipewa scholarship kuongeza elimu. Tuliwasiliana kimtandao kwa mwaka mzima.

Then mwishoni mwa mwaka huo,serikali ikatangaza ajira,boss wangu mmoja aliyeko serikalin,akanitumia tangazo ,akanambia omba,huko private ulipo na nature ya hii kazi hutoweza kuja kuwa na stable family,nikamjibu wanataka experience ya miaka mitano kwenye industry,akanambia we omba,kama ni gpa unayo nzuri, you're hard working,na experience yako hii ya mwaka mmoja private utapata.Basi nikaomba,tukaitwa interview Dec, January mwaka uliofata majina yakatoka,nikawa nimepata kweli.Mawasiliano still yakawa yanaendelea kati yangu na jamaa.ulikuwa ulimwengu mzuri ajabu.

Nikazungumza na boss wa kampuni,kumweleza kuhusu kupata ajira govt,alisikitika mimi kutaka kuondoka kwani nilikuwa naisave kampuni kwenye projects,zinafanyika kwa wepesi na kwa haraka,Basi akaridhia kishingo upande,nikamkonect na dogo aliyemaliza nyuma yangu,akachukua Ile position.

Nikaandika barua ya kuacha kazi kwa hiyari kwenye Ile kampuni,boss akanipitishia,nikwasilisha na maombi ya kulipwa nssf yangu pale Arusha headquarters,kweli nikalipwa na kuwa cleared,nikaanza kazi rasmi serikalini.

Jamaa yule tukawa tunaendelea kuwasiliana,kimtandao mostly jf na fb ,then ikafika kipindi kamaliza masomo na anajiandaa kurudi nyumban,toka masomoni abroad.Wakati huo nishahamia daslam,nilikokuwa nimepangiwa kikazi.Akafanya arrangement tuonane sasa,ana kwa ana.Tulifanikiwa kuonana,akaja kutembelea ofisini,nami nikafika kwake ofisini,nk.
The guy alikuwa kanizid like 12 years,Ila was so hot, handsome wa ukweli,sauti flan nzuri yenye lafudhi ya kiulaya🤣mcheshi,mstaarabu,mpole,yani alikuwa na sifa zote a girl can dream about.
.................
Tulidate for a while,baadae akaja nieleza ukweli,kuwa he is married,akanionyesha na mkewe na watoto wawili,lol i was so heart broken and dissapointed,Nikaanza punguza mazoea taratibu na yeye manake nilikuwa nimezama kwa mahaba🤣🤣hadi penzi likajifia kifo Cha asili.Manake niliona hamna future pale, ukizingatia ndo nilikuwa mdogo afu najitafuta sasa.Ila niliinjoi Sana kwa kipindi hiko nilichokuwa naye,toka yuko nje ya nchi hadi aliporudi na tukawa na mahusiano halisi.He was quite a gentleman.Saivi Yuko Dom,ila hatuna mawasiliano since then.

Ni miaka imepita like 10 years,it was a nice experience ingawa iliisha kitofauti🤣🙏
Nice experience

Duniani tunaishi mara moja.
 
Nimesafiri mikoa mingi Sana, nilifika hadi kwa mzee magu enzi hizo akiwa waziri, nikaweka kambi pale mwezi kwa project iliyokuja kuwa implemented akiwa prezidaa, nimefika hadi mpakani mwa TZ na uganda, mpakani na Burundi, Rwanda, Kenya.

Nimetembelea mbuga zetu Kama Tarangire, lake manyara, Mikumi, etc ambako niliweka kambi mwezi, nikikusanya data za tanapa kwaajili ya financial reporting. Ilikuwa full paid, utalii wa ndani bure, vyakula, vinywaji, posho, u name it.
hapa sasa unatuoshea😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom