yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimchukie mama au binamu yangu? Nitaanzaje kumuita binamu baba?

    Guys IPO hivi naitaji kushare stori yangu na nyie kwasababu ya mengi kujifunza ndani yake that's true story sio joke nashindwa kuelewa niendelee kumchukia mama au niwachukie wote binamu na mama kwasababu siwezi kumuita binamu baba never story yangu inaanzia 2013 mpaka now mkiwa tiali mtaniambia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mazishi yangu yawe Jf

    Endapo nitafariki na halafu bado ikiwepo naomba mazishi yangu yawe live kupitia JF. Zile sehemu ambazo tu kisheria na kimila, na utamaduni wa kiislam unaruhusu. Kuanzia kuswaliwa, watu watapokusanyika mpaka hatma yake.
  3. JamiiForums Tanzania Adui Yangu Anaitwa Simu

    Hii sio kawaida! Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee! Youtube Insta Fb Site za wakubwa(twice) Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu) .. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being...
  4. JamiiForums Tanzania TRUE story: Kifo cha mama yangu kilivyo taka kuniua

    Jina langu naitwa Hidden Diamond. Kwa mama, mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa (na kaka yangu mkubwa ambaye mama alimpata akiwa bado msichana mdogo), ila kwa baba ni mtoto wa pili baada ya kaka yangu ambaye kwa sasa ameajiriwa kwenye sekta mojawapo binafsi nchini. Kwenye familia yetu, wote kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Habari za wakati huu. Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo. Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu yangu ya sasa kwenye mahusiano

    ''Ng'ombe asiyekupatia maziwa, usimpe majani'' Kazi kwenu mabaharia.
  7. JamiiForums Tanzania Hii ni haki kweli? Nimekuta gari yangu inadaiwa wala sijui kosa, sina taarifa yeyote

    Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka malalamiko ? Moderator Maxence Melo
  8. JamiiForums Tanzania Kindege kimekula tsh miasita yangu ya kiitanzania

    Ndio ilikuwa hela ya mwisho asee nimeumia sana maumivu yake hayasimuliki na huu usawa wa. Samia Alafu napoteza hela kizembe dah dunia haina huruma
  9. JamiiForums Tanzania Naamini katika wilaya yangu yote ni mimi pekee nisiyeamini huu UPUMBAVU.

    Juzi kati nilitembelea watoto yatima sehemu fulani maporini huko na nikiwa huko nilihisi kung'atwa na kitu then kurudi home wakati naoga nikaona pale mahali pamevimba.Na palivimba na kuwasha sana kwa kama wiki nzima huku dawa nilizopewa hospitali kutosaidia kit. Tukiwa kitandani shemu wenu...
  10. JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwenu machama yangu Argentina, Morocco, Spain na Algeria

    Ingawa mimi ni shabiki mkongwe wa Albiceleste, na bado naimani kubwa sana na chama langu kubeba kombe hili (Back to Back) Lakini kwa upande wa Afrika nipo na chama langu The Atlas na mabingwa wa Afrika CAF CHAMPIONS LEAGUE ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ MOROCCO ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ, niwatakieni kila la kheri katika mchezo wenu wa kwanza...
  11. JamiiForums Tanzania Namtafuta mganga mzuri wa โ€˜kunitengenezeaโ€™ biashara yangu

    Hapo vip! Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa. Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji passport ya kusafiria ila Nida yangu imekosewa

    Kwema wakuu? Ninahitaji kupata passport ya kusafiria ila jina lililoko kwenye nida limekosewa herufi moja tu (badala ya kuishia na herufi โ€œniโ€ jina la mwisho limeishia na โ€œnโ€). Siko na kitambulisho mkononi kipo mkoani huko na time hii niko DSM. Je, inawezekana?
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Vacation na familia yangu

    Dah aliyewaambia pesa aileti furaha aliwadanganya
  14. JamiiForums Tanzania NAUZA GAMING LAPTOP YANGU GTX 1650 HP PAVILION

    Wakuu kwema ninauza gaming laptop yangu ina speci hizi Core i7 gen 9 ram 16 hp pavilion gtx 1650 vram 4gb ssd 256 ssd sata tb 1 core i7 gen 9 battery 1hours windows 11 bei 680k serious buyer dm me au 0627796644 inafaa kwa gaming na graphic
  15. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

    Habarini wakubwa, Poleni na majukumu. Nianze kwa kuomba radhi kwa nitakaowakwaza. Mimi ni kijana wa miaka 27. Baada ya majaribio ya muda mrefu ya kutafuta mke kushindikana, nilikata tamaa ya kuoa kabisa na nikaamua kubaki single. Baada ya muda, dada yangu alinipatia binti mwenye miaka 17 na...
  16. JamiiForums Tanzania Nimegundua rafiki yangu kawa chawa wa kiwango wa Airport

    Nilikuwa na rafiki yangu mzuri ambaye tulifahamiana ofisini lakini baadaye alikuja kuhama pale ofisini sasa yapata miaka 8 hatuko pamoja Lakini wakat huo wote tuliendelea kuwasiliana na kusaidiana katka changamoto mbalimbali za kimaisha Kilichonishtua ni kuwa mwaka Jana alinipigia simu...
  17. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei umekula mitaji ya wafanyabiashara wadogo

    ๐ŸŒ๐— ๐—™๐—จ๐— ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—ช๐—” ๐—•๐—˜๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ช๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—œ๐—ง๐—”๐—๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ช๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—”๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ช๐—”๐——๐—ข๐—š๐—ข ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—”๐Ÿฅ’๐ŸŒ Ripoti mpya ya TICGL inaonesha kuwa ongezeko la mfumuko wa bei nchini linaweza kuendelea kuathiri kwa kiwango kikubwa biashara ndogo na za kati (MSMEs), ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ผ ๐˜‚๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—บ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ. ๐Ÿ”น Mfumuko wa bei...
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye thread yangu kuhusu Terence Crawford imemfikia waziri wa utalii na maliasili na amempa ubalozi wa utalii Tanzania

    Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

    Ilikua safari ndefu sana. Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia . Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kuongelea Gari Used Toyota Crown ndio gari yangu namba moja kwa kupenda

    Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma. Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ