yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Pacome na goal of the week, kule jezi ya Yanga kwenye wimbo wa AFCON 2023

    Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League. Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye video ya wimbo rasmi wa AFCON 2023 badala ya jezi za Taifa Stars. Yanga imekuwa maarufu Sana viunga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilio kinachowasubiri Yanga ni kilio cha "mayu noyaga"

    Kwa wanyamwezi, Kilio cha "mayu noyaga" ni cha "mama nimekoma". Hicho ndicho kilio kinachowasubiri Yanga watakapokutana na Medeama hapo kesho! Medeama ni kitimu ambacho hakipo hata kwenye ramani ya soka la Afrika lakini kwa yanga ni mlima mrefu usiopandika! Tuliwaambia michuano ya losers...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kocha Gamond: Ije mvua ama jua lazima Yanga tuwafunge Medeama kesho

    Kocha wa Yanga Miguel Gamond akiongea na vyombo vya habari kabla ya mechi yao na Medeama kesho amenukuliwa akisea "Ni lazima tushinde mechi yetu ya kesho mbele ya Medeama ili tufuzu hatua inayofuata, najua sio rahisi ila tutaweza kesho kupata alama, tumepata alama moja kwenye kundi ila timu...
  4. JamiiForums Tanzania Tuzo za CAF: Kocha wa Simba apenya, Yanga yatupwa

    Mshika remote wa vichwa vya fans wa Yanga tunaomba uwaset Uto wajadili bila jazba na matusi
  5. JamiiForums Tanzania Yanga wanacheza kwa papara, jazba na kukamia, hawajui mpira

    Hapo vipi? Kuna jambo nimejifunza sana kwenye hii michuano ya club bingwa. Kwanza uelewe hizi timu zinazocheza ni bora sana, hilo ni la kwanza kabisa. Hivyo wanapokuja katika michuano hii hawachezi kwa lengo la kumiliki mpira na kushambulia ila wanacheza technically (mpira wa akili na...
  6. JamiiForums Tanzania Sema Ustaarabu umezidi mno ila Mechi ya Yanga na Al Ahly Aziz Ki anakesi ya kujibu

    Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni. Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani. Wanamichezo tunasema fair play. Kwenye gemu sasa. Hakuonesha madhara kabisa. Hata sehemu za...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga ichukuliwe hatua kwa uharibifu iliyofanya juzi uwanja wa Mkapa

    Juzi katika mechi ya Yanga vs Al Ahly uwanja wa Mkapa, mashabiki wa Yanga waling'oa viti na kuwarushia mashabiki waliokuwa wanaishangilia Al Ahly. Inteligensia yangu imeniambia kuwa mashabiki wa Yanga walifanya hivyo baada ya kuudhiwa na kitendo cha mashabiki wa Al Ahly kuwasha moshi uliosambaa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yanga atafika hatua ya robo fainali tena kwa kujihakikishia nafasi mapema kabisa

    Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga: Mashabiki komeni kuukurubia zaidi uongozi na wachezaji wenu.

    Shabiki wa timu ni mhimili laini wa timu ambao kazi Yake kwenye timu ni kusimamia furaha yao isipotezwe na wachezaji, viongozi, wafadhili na wadhamini wa timu yao. Yaani malipo ya shabiki wa timu ni furaha TU ya ushindi wa timu. Mashabiki ndio mjeredi (whip) imara wa timu kuwafanya wachezaji...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

    Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
  11. JamiiForums Tanzania Yanga bila kupata mshambuliaji namba 9 haiendi popote

    Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana. Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mechi zijazo za Yanga na wapi atakuwa anacheza

    Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away. Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini. Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly...
  13. JamiiForums Tanzania Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

    Habari Wakuu, Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo, Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda) Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw) Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda ) Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda) Nouadhibou vs pyramids...
  14. JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga akataa ushamba

    Hii hapa ndio kauli yake
  15. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

    Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al Ahly). Mechi inachezwa katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania. Unafikiri nani ataibuka...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Simba wamesahau mchezo wao na kuwalenga Yanga na Al Ahly tu. Kesho watarudi na "Try Mangungu aondoke!"

    Club ya Simba ni moja kati ya Klabu inayopenda sifa za hovyo na za kipropaganda, kesho Jumamosi Simba inaenda kunyolewa huko ugenini na Galaxy, halafu kesho mashabiki wa mihemko wa Simba kama kawaida yao watarudi kwenye Media na kuanza kusema Mangungu aondoke, Try Again, Saido, Chama, Kapombe...
  17. JamiiForums Tanzania Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

    Hapo vip! Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga. Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi washamba Yanga hawahitajiki. Tujikite kwenye mechi na Al Ahly

    Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii. Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Msimu huu huenda Simba na Yanga kwenye makundi CAF champions league zikamaliza nafasi ya 3 au 4

    Kuna dalili kubwa Simba ikamaliza nafasi ya tatu msimu huu kama SI kuwa wa mwisho kwenye ligi,Kwa mpira uliopigwa na Asec ni wazi kuwa lazima Simba atapoteza match yake ya away hivyo, kundi limezidi kuwa zito baada ya Wydad kugongwa na galaxy. Vile vile Kwa upande wa Young African kama...
  20. JamiiForums Tanzania Kamati ya ufundi Yanga walimhujumu Likud kwenye mechi dhidi ya CR Belouzdad

    Nianze kwa kueleza kusikitishwa kwangu na kiwango kidogo cha uelewa kilicho onyeshwa na baadhi ya wana jf ambao walikuja kuushushua utabiri wangu baada ya mechi. Komenti za wana jf hao zilinifanya nikumbuke maneno ya mtu mmoja mwenye hekima na busara ambae aliwahi kusema kwamba " The same...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…